TRC yatarajia kupokea vichwa vipya vitatu vya treni kupitia mradi wa TIRP

TRC yatarajia kupokea vichwa vipya vitatu vya treni kupitia mradi wa TIRP

Hivi vile vichwa vilivyookotwa bandarini na hayati Dr John ni kweli mlikiwa hamjaviagiza (hamjavifanyia manunuzi) au ni yalikuwa maigizo sinema? Au ni kweli viliokotwa?
 
TUMECHOKA KUSUBIRI,mlisema SGR majaribio mwezi wa kumi na moja lakini hadi sasa hakuna hata kichwa kimoja cha treni wala behewa
 
Kwa hiyo ndo tutaanza kusafiri Dar-Moro kwa SGR.......miaka miwili tayari imepita tangia mtuahidi kwamba kipande cha Dar-Moro kingekuwa tayari.
 
Tunashukuru kwa taarifa. Na pia tunawatakia utendaji mzuri wa kazi.
 
Back
Top Bottom