jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Unaweza kutolea mfano ambao serikali imeuza/kutangaza kwa miaka ya karibuni?Kwanza sio financial terms. Zinaitwa Financial Instruments.
Pia zio tresure bill bali Treasury Bills na Government bonds.
Treasury bills hizi ni dhamana zinazotumika pale serikali inapokopa mkopo usio zidi mwaka mmoja.
Govt bonds ni dhamana inayotolewa na serikali inapokopa mkopo wa muda mrefu unaozidi mwaka mmoja.
Dhamana hii huwa katika mfumo wa hati / certificate.
Kwa hiyo tofauti kubwa iko kwenye maturities au muda wa kuiva. Bills huiva chini ya mwaka wakati bonds zinachukua zaidi ya mwaka kuiva.
Na mwananchi anaweza kunufaika na hizo financial instruments akitaka?Unaweza kutolea mfano ambao serikali imeuza/kutangaza kwa miaka ya karibuni?
Na je watu waliokopesha wanaweza kufaidika kwa kwa faida kiasi gani?
Dadavua zaidi.Kuiva ni kufikia ule mda wa makubaliano au nini?Kwanza sio financial terms. Zinaitwa Financial Instruments.
Pia zio tresure bill bali Treasury Bills na Government bonds.
Treasury bills hizi ni dhamana zinazotumika pale serikali inapokopa mkopo usio zidi mwaka mmoja.
Govt bonds ni dhamana inayotolewa na serikali inapokopa mkopo wa muda mrefu unaozidi mwaka mmoja.
Dhamana hii huwa katika mfumo wa hati / certificate.
Kwa hiyo tofauti kubwa iko kwenye maturities au muda wa kuiva. Bills huiva chini ya mwaka wakati bonds zinachukua zaidi ya mwaka kuiva.
Ile tarehe ya kuiva itakuwa kwa hiyo karatasi hivyo ikifika unakuta mkwanja wako. Ni kama unavyoweka fixed deposits ikifika muda wake unachukua pesa na riba au unaamua kuirejesha tena kwa mkataba mpya. Ukitaka zaidi Ingia Google utapata details na mfano japo miingi ya nchi za nje.Dadavua zaidi.Kuiva ni kufikia ule mda wa makubaliano au nini?
Maneno kuntuPost kama hizi zinatoa shule tosha,
Majibu yanayotolewa humu watu tuliyasomea kwa mamillion ya pesa,
Leo hii watu wanayapata kwa mb za jero
Faida hizi rais wenu hazijui analeta figusufigisu kufungia mitandao,
Stupid Tanzania
Pita huu UziHabari wanajukwaa?
Kwa kutumia mifano iliyowahi kutangazwa hapa nchini,naomba kueleweshwa maana ya hizi financial terms na mifano ya jinsi zinavyo fanyika kwa hapa nchini kwetu.
Msaada wenu wajuzi wa hizi mambo.