Mzalendo07
Member
- Feb 24, 2014
- 71
- 120
Siku hizi kila mtu anakimbilia Treasury bonds. Hii kitu mie Napata wasiwasi sana. Unaikopesha serikali kutumia hela kwa miradi ya maendeleo ambayo sio ya kuingiza Faida, Mfano watu wakahitaji hela zao kwa Pamoja je wataweza kuzirudisha au ndio kama Mifuko ya hifadhi ya Jamii.