Treasury Bonds za Tanzania

Treasury Bonds za Tanzania

Mzalendo07

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
71
Reaction score
120
Siku hizi kila mtu anakimbilia Treasury bonds. Hii kitu mie Napata wasiwasi sana. Unaikopesha serikali kutumia hela kwa miradi ya maendeleo ambayo sio ya kuingiza Faida, Mfano watu wakahitaji hela zao kwa Pamoja je wataweza kuzirudisha au ndio kama Mifuko ya hifadhi ya Jamii.
 
Pitia website ya BOT wameelezea vizuri. Haiwezekani watu kutaka pesa zao kwa mara Moja kwani huu ni mkataba wa muda mrefu pesa zako zitalipwa siku bond ikiiva. Mfano miaka 25. Hapo kati utakua unalipwa riba mara mbili kwa mwaka.
N.B. Serikali haifilisiki.
 
Back
Top Bottom