Sii hao so called women with profession zao. Ana degree yake na hela zipo mwanaume utamwambia nini.mmh kwaio nyuma ya pazia pia umejua source ya izo talaka!?
Tena jana nilikuwa naangalia program moja ya mambo ya madawa...bimdashi yeye ndio ana control hiyo businezz aisee anakwambi mie sijaolewa na sihitaji mwanaume be oz i started making millions since i was 20.
Wakati wie wanaume tukipata hela tunataka kuongeza wake nyie mkipata hela u just wana get rid of us