Nyamizi Platinum Member Joined Feb 19, 2009 Posts 9,186 Reaction score 13,757 Jun 13, 2023 #41 sky soldier said: Bila kusahahu cafcl tulitoa sare, ni sheria tu zilikuwa za ovyo Click to expand... Basi rekebisha hapo pa cafcl,najua ulimaanisha cafcc.CL waliocheza fainali wanajulikana ni juzi tu wala hatujasahau.
sky soldier said: Bila kusahahu cafcl tulitoa sare, ni sheria tu zilikuwa za ovyo Click to expand... Basi rekebisha hapo pa cafcl,najua ulimaanisha cafcc.CL waliocheza fainali wanajulikana ni juzi tu wala hatujasahau.
mpiga vichwa JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 2,376 Reaction score 3,811 Jun 13, 2023 #42 Nafikiri wakati Mungu anagawa mafurushi ya ujinga , furushi lenye ukolevu mkubwa lilianzia mitaa ya Jangwani
Nafikiri wakati Mungu anagawa mafurushi ya ujinga , furushi lenye ukolevu mkubwa lilianzia mitaa ya Jangwani
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Jun 13, 2023 Thread starter #43 mpiga vichwa said: Nafikiri wakati Mungu anagawa mafurushi ya ujinga , furushi lenye ukolevu mkubwa lilianzia mitaa ya Jangwani Click to expand... Yaaah mkuu.. wananchi wako very gifted.,. that's why wanabeba Makombe yote
mpiga vichwa said: Nafikiri wakati Mungu anagawa mafurushi ya ujinga , furushi lenye ukolevu mkubwa lilianzia mitaa ya Jangwani Click to expand... Yaaah mkuu.. wananchi wako very gifted.,. that's why wanabeba Makombe yote