Treble: kule Man City huku Yanga

Treble: kule Man City huku Yanga

Habari wananchi:

Uingereza man City wameweza kubeba Makombe matatu Kwa mpigo ikiwemo UEFA....... Premier Ligue.....na lingine nmesahau


Bongo Yanga bado wameendelea kujenga ufalme wao kwenye suala la mpira kubeba Makombe matatu Kwa mpigo kama tu city pale mjini ulaya

Ngap ya hisani

Ligue

Azam confederation cup

Na kufika final ya kombe la shirikisho CAF
Ngao ya Jamii huwa haihesabiki kama kombe, ..it's just for charity
 
Kwani usingepachika neno treble ungepungukiwa nini kuliko kuwadhalilisha mashabiki wa YANGA SC?
 
Kwani usingepachika neno treble ungepungukiwa nini kuliko kuwadhalilisha mashabiki wa YANGA SC?
Pole sana mkuu
1686620678403.jpg
 
Ficha ujinga wako ewe utopolo,treble ya man city unaona ina ngao ya hisani??usifananishe chana langu na utopolo.
 
Back
Top Bottom