Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Scars na Greatest Of All Time njooeni huku muoneYanga kaibeba Simba Club bingwa Afrika kwa ushindi wa leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Scars na Greatest Of All Time njooeni huku muoneYanga kaibeba Simba Club bingwa Afrika kwa ushindi wa leo.
Makolo wanabishaView attachment 2655157
Vimbenju[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngao ya Jamii huwa haihesabiki kama kombe, ..it's just for charityHabari wananchi:
Uingereza man City wameweza kubeba Makombe matatu Kwa mpigo ikiwemo UEFA....... Premier Ligue.....na lingine nmesahau
Bongo Yanga bado wameendelea kujenga ufalme wao kwenye suala la mpira kubeba Makombe matatu Kwa mpigo kama tu city pale mjini ulaya
Ngap ya hisani
Ligue
Azam confederation cup
Na kufika final ya kombe la shirikisho CAF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachekesha hawa.Wanayanga mfundisheni mwenzenu maana ya treble anajiabisha tu hapa
Sio kombee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kibongo bongo ni kombe mkuu
Hahaha tena sio kidogo wanafikiri treble ni matako kila mtu anayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachekesha hawa.
Cafcl unaijua vzr mkuu??Bila kusahahu cafcl tulitoa sare, ni sheria tu zilikuwa za ovyo
Ila wananchi mna mbwembwe sana[emoji28]Kwasasa Yanga ni Man city of Africa