Tree of Life Foundation kupanda miti milioni moja mwaka 2023

Tree of Life Foundation kupanda miti milioni moja mwaka 2023

Joined
Aug 15, 2022
Posts
21
Reaction score
51
Pamoja tunaweza.
Taasisi ya Tree of Life Foundation iko mbioni kupanda miti ya matunda, kivuli na ya mbao kwenye mwaka mpya wa 2023.

Upandaji huo utaambatana na utoaji wa elimu ya mazingira kwa wananchi walio mijini na vijijini.

Karibu tushirikishane pamoja katika kuyatunza mazingira ya nchi yetu.

Screenshot_20221224-071554_WhatsAppBusiness.jpg
 
Write your reply...MAENEO YAKO WAPI YAKUPANDA AU MNAPANDA KWENYE MASHAMBA YA WATU NAKUDAI HII ILIKUWA ENEO LETU TANGIA MWAKA ,1960.Ondokeni hi ni eneo la tfs.
 
Pamoja tunaweza.
Taasisi ya Tree of Life Foundation iko mbioni kupanda miti ya matunda, kivuli na ya mbao kwenye mwaka mpya wa 2023.

Upandaji huo utaambatana na utoaji wa elimu ya mazingira kwa wananchi walio mijini na vijijini.

Karibu tushirikishane pamoja katika kuyatunza mazingira ya nchi yetu.

View attachment 2463163
Naomba muongozo wa ushiriki, je mtatoa miche bure? Au kutakuwa na punguzo kidogo?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kila la kheri katika kutekeleza lengo lako, pia ungeelezea namna ya sisi kushiriki ingekua poa sana.
 
Back
Top Bottom