Trekta Bora
Member
- Jan 25, 2023
- 9
- 10
Tatizo nyie madalali hamko stight katika maelezo na bei, kwanini hujaweka bei ni bora ukilinganisha na trakita ipi, ubora wake uko wapi?Habari wana JF, karibuni mjipatie zana bora za kilimo ; trekta aina ya mahindra ni trekta bora yenye usanifu mkubwa katika nchi yetu ya tanzania.
Karibuni kwa maswali na maelekezo juu ya namna ya upatikanaji wa trekta.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0717217520
Weka details za kutosha bila kuhitaji kupigiwa simu. Hivi bei, ziliko, uwezo wake, new/used, warrant na specs nyingine lazima upigiwe simu? Kufichaficha taarifa muhimu kwa biashara ni dalili za utapeli.Habari wana JF, karibuni mjipatie zana bora za kilimo ; trekta aina ya mahindra ni trekta bora yenye usanifu mkubwa katika nchi yetu ya tanzania.
Karibuni kwa maswali na maelekezo juu ya namna ya upatikanaji wa trekta.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0717217520
Tupo Daresalaam, Arusha, Dodoma - Kibaigwa na Kahama.Tukikuita tapeli mkuu utatulaumu? weka maelezo yote
mpo wapi
bei
nk
Mahindra ni make ya india. By volume ni trekta inayoongoza kuuza duniani.Made wap hii
Karibu Papaa Gx kwa maswali. Kama unahitaji kujua chochote kuhusu trekta za mahindra nitakujibu.Hauko serious na kazi wewe.
Hii ni bora kuliko Masey Ferguson?Mahindra ni make ya india. By volume ni trekta inayoongoza kuuza duniani.
Ina lifespan kubwa sana ukilinganisha na brands nyingine. Lifespan yake ni masaa 15000hrs
Kila moja ni bora kwa aina yake, maana technolojia zilizotumika ni tofauti pia.Hii ni bora kuliko Masey Ferguson?
Andika vizuri basi kha!Mahindra ikialibika halitengenezeke kunamwalimu wangu mstafualinunua linamsumbua kwelispeazikojuu sana trectornzuri kwamkulima nimaser
Tupo Daresalaam, Arusha, Dodoma - Kibaigwa na Kahama.
Kuhusu bei zipo aina nyingi kulingana na nguvu ya trekta Mfano. Hp 50 2wd bei ni 48.5m na jembe ni 9m