Trekta aina ya Mahindra

Trekta aina ya Mahindra

Trekta Bora

Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
9
Reaction score
10
Habari wana JF, karibuni mjipatie zana bora za kilimo ; trekta aina ya mahindra ni trekta bora yenye usanifu mkubwa katika nchi yetu ya tanzania.

Karibuni kwa maswali na maelekezo juu ya namna ya upatikanaji wa trekta.

Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0717217520
 
Attachments

  • e244be46-93e9-436a-a17c-af39bbda5c9d.mp4
    8.9 MB
  • IMG_8357.jpeg
    IMG_8357.jpeg
    2.9 MB · Views: 23
Habari wana JF, karibuni mjipatie zana bora za kilimo ; trekta aina ya mahindra ni trekta bora yenye usanifu mkubwa katika nchi yetu ya tanzania.

Karibuni kwa maswali na maelekezo juu ya namna ya upatikanaji wa trekta.

Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0717217520
Tatizo nyie madalali hamko stight katika maelezo na bei, kwanini hujaweka bei ni bora ukilinganisha na trakita ipi, ubora wake uko wapi?
 
Habari wana JF, karibuni mjipatie zana bora za kilimo ; trekta aina ya mahindra ni trekta bora yenye usanifu mkubwa katika nchi yetu ya tanzania.

Karibuni kwa maswali na maelekezo juu ya namna ya upatikanaji wa trekta.

Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0717217520
Weka details za kutosha bila kuhitaji kupigiwa simu. Hivi bei, ziliko, uwezo wake, new/used, warrant na specs nyingine lazima upigiwe simu? Kufichaficha taarifa muhimu kwa biashara ni dalili za utapeli.
 
Hii ni bora kuliko Masey Ferguson?
Kila moja ni bora kwa aina yake, maana technolojia zilizotumika ni tofauti pia.
Massey Ferguson zipo make za aina nyingi sana na make za nchi tofauti tofauti. Zinatofautiana ubora kati ya massey Ferguson ya UK na Pakistan n.k Spareparts za Massey Ferguson ni bei nafuu zaidi

Mahindra ni trekta bora sana hususani kwenye durability(kudumu) na fuel consumption (ulaji wa mafuta kwa heka).
 
Mahindra ikialibika halitengenezeke kunamwalimu wangu mstafualinunua linamsumbua kwelispeazikojuu sana trectornzuri kwamkulima nimaser
 
Back
Top Bottom