HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Abiria wanao tumia tren ya mwendo Kasi SGR kutoka Dar to Dodoma wamekuwa wengi sana kupelekea tren kukaa mapema huku abiria wakikosa sit nashauri wahusika waongeze mabehewa kuliko kutumia hayo 14 tu yaliyopo mtu unatafuta sit siku mbili mbele unaambiwa tren imejaa.
Mfano Jana jumamosi nimejaribu kuangalia usafiri wa jumapili umejaa jumatatu umejaa hadi jumanne nayo jioni asubuhi tren limejaa inapaswa waongeze mabehewa.
Soma Pia: Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi