Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa ccm sijui akili zinahamia wapiBonge la fursa kwa TRC sema ndiyo hivyo tena viongozi wetu wengi ni vilaza ccm imeharibu sana
Hizo stress bora niendelee panda shabibby... Kikubwa ku balance tu muda.Abiria wanao tumia tren ya mwendo Kasi SGR kutoka Dar to Dodoma wamekuwa wengi sana kupelekea tren kukaa mapema huku abiria wakikosa sit nashauri wahusika waongeze mabehewa kuliko kutumia hayo 14 tu yaliyopo mtu unatafuta sit siku mbili mbele unaambiwa tren imejaa.
Mfano Jana jumamosi nimejaribu kuangalia usafiri wa jumapili umejaa jumatatu umejaa hadi jumanne nayo jioni asubuhi tren limejaa inapaswa waongeze mabehewa.
Soma Pia: Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi