HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Kuna vichwa na mabehewa mengi pale Ruvu sijui yanasubiri niniAbiria wanao tumia tren ya mwendo Kasi SGR kutoka Dar to Dodoma wamekuwa wengi sana kupelekea tren kukaa mapema huku abiria wakikosa sit nashauri wahusika waongeze mabehewa kuliko kutumia hayo 14 tu yaliyopo mtu unatafuta sit siku mbili mbele unaambiwa tren imejaa.
Wataivuruga ili kulinda biashara zaoBonge la fursa kwa TRC sema ndiyo hivyo tena viongozi wetu wengi ni vilaza ccm imeharibu sana
Hiyo ni human nature, back then ulikuwa ukiona gari la mtu binafsi unaona nintajiri kweli kweli, wikuizi is normal kabisa, watu washazoea hakuna maajabuBaada ya miezi sita itakuwa kawaida tu watu wameshazoea.
Watu wanapiga deal ktk hii fursaAbiria wanao tumia tren ya mwendo Kasi SGR kutoka Dar to Dodoma wamekuwa wengi sana kupelekea tren kukaa mapema huku abiria wakikosa sit nashauri wahusika waongeze mabehewa kuliko kutumia hayo 14 tu yaliyopo mtu unatafuta sit siku mbili mbele unaambiwa tren imejaa.
Mfano Jana jumamosi nimejaribu kuangalia usafiri wa jumapili umejaa jumatatu umejaa hadi jumanne nayo jioni asubuhi tren limejaa inapaswa waongeze mabehewa.
Soma Pia: Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi
Abiria wanao tumia tren ya mwendo Kasi SGR kutoka Dar to Dodoma wamekuwa wengi sana kupelekea tren kukaa mapema huku abiria wakikosa sit nashauri wahusika waongeze mabehewa kuliko kutumia hayo 14 tu yaliyopo mtu unatafuta sit siku mbili mbele unaambiwa tren imejaa.
Mfano Jana jumamosi nimejaribu kuangalia usafiri wa jumapili umejaa jumatatu umejaa hadi jumanne nayo jioni asubuhi tren limejaa inapaswa waongeze mabehewa.
Soma Pia: Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi
Ni kwa Tanzania pekee ambapo biashara inakufa kutokana na kuzidiwa na wateja wengi zaidi.Bonge la fursa kwa TRC sema ndiyo hivyo tena viongozi wetu wengi ni vilaza ccm imeharibu sana
Inabidi waongeze mabehewa, walau mtu akitaka treni ya kesho yake pawe na nafasiAbiria wanao tumia tren ya mwendo Kasi SGR kutoka Dar to Dodoma wamekuwa wengi sana kupelekea tren kukaa mapema huku abiria wakikosa sit nashauri wahusika waongeze mabehewa kuliko kutumia hayo 14 tu yaliyopo mtu unatafuta sit siku mbili mbele unaambiwa tren imejaa.
Mfano Jana jumamosi nimejaribu kuangalia usafiri wa jumapili umejaa jumatatu umejaa hadi jumanne nayo jioni asubuhi tren limejaa inapaswa waongeze mabehewa.
Soma Pia: Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi
Inashangaza, lakini hapo ni hujuma ya wafanyakazi kununua ticket zote na kuziuza wao kwa bei kubwa…Ni kwa Tanzania pekee ambapo biashara inakufa kutokana na kuzidiwa na wateja wengi zaidi.