Tren ya SGR yazidiwa na abiria kutoka Dar to Dodoma

Wapigaji na wahujumu bado hawajaanza yao?
 
NASHAURI KAMA KUNA UWEZEKANO SGR IPELEKWE KASKAZINI KUWASAIDIA WENZETU KIPINDI CHA DESEMBA
 
Hivi kesho mchongoko unaanza safari bila uzinduzi
 
Nchi limeshakuwa la kipumbavu hili! Wanakazana kununua ndege badala wawekeze kwenye reli!
 
huyu dereva wa sgr mchongoko noma sana yaani anatoka dar 18.40 dom 21.40, hapo kashusha na kupakia abiria moro, kasimama mkata kwenye mapishano. wakati shabiby inatoka dar 19.00 inafika dom saa 11 alfajiri
 
Hizo stress bora niendelee panda shabibby... Kikubwa ku balance tu muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…