Trend Analysis: Utabiri msimamo mechi ya 30 Ligi Kuu

Trend Analysis: Utabiri msimamo mechi ya 30 Ligi Kuu

Kwanza msiogope washabiki wa Mpira, Kuna mahesabu ya Utabiri wa Bingwa wa ligi pamoja na msimamo wa ligi kuu pale itakapofikisha mechi ya 30, mahesabu haya yanafanyika Kwa ligi mbalimbali ikiwemo premier league ya UK.

Kulingana na teknolojia ya Artificial intelligence Kwa kutumia trend analysis, Kwa mwenendo wa ligi yetu bara , mifumo ya AI imeweza kutabiri msimamo wa Ligi Kuu ndani ya mechi 30, kiufupi ni Utabiri wa top 4.

Kwakutumia Advanced Football predictor GPT inayo incorporate AI technology, inayotumia historical , recently results, football match statistics, na data nyingine muhimu, Inaonekana top Four itakuwa kama Ifuatavyo. Pia jua hii mifumo IPO online unaweza kwenda Fanya analysis Kwa muda wako kujua

The predicted top four of the NBC premier league at the end of the season with 30 games played, is as follows
1. Younga African, PT 85
2. Singida Black Stars PT 81
3. Simba Sports club PT, 80
4. Azam sports. PT 70
5. Singida Fountain PT , 69

Sasa je maroboti haya ya kimtandao yanayotumika kutabiri na kukalculate mambo mengi ,yametabiri yanga bingwa, Sasa tukaone mwisho wa msimu.
Msimamo utaisha hivi...

1. Yanga
2. Simba
3. Singida Black Stars
4. Azam
5. Coastal Union
6. Kmc
7. Fountain gate
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC.
JamiiForums-31645776.jpeg
 
Back
Top Bottom