Tetesi: Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.

Wizara ya Mambo ya Ndani inaweza ikarudi Zanzibari.. (ila siyo kwa Masauni)..
 
Sio kweli kwamba mtu bora na safi huko vyuoni atapasua huko makazini,ukizingatia wengi maProfesa na PHD holders hawana uzoefu nje ya kuwa walimu kwenye vyuo.Failure ya utendaji ni kubwa sana natabiri hilo
 

Siku ikitokea akaondolewa Muhongo nicheki nikupe bhakishishi mkuu. Not all glitters ......
 
Kazi ya headhunting inaendelea, katika kuyasuka mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri, sijui Mama Kikwete atampa wizara gani? .

Hii ni dalili njema kwa sababu angalau sasa the gender sense ime sink kwenye his brain na teuzi hizi za Mama Anne Kilango na Mama Salma Kikwete, ni good signs za gender mainstreaming kwenye baraza la mawaziri.

Bado uteuzi wa mwanamke mwingine mmoja wa mwisho, kwa maoni yako amuongeze nani?.

Paskali
 
Mkuu mbona ile ID yako ya Pasko umeisusa toka ile siku tuliyopewa maana ya Mayalla na mkulu pale nyumba nyeupe??
 
Mwingine wa kuongezwa katika baraza la mawaziri huenda ikawa mama salma kikwete
 
Ina Maana Mama Salma atapewa wizara ya wanawake na watoto....JK atakubali Mama kuwa Dodoma full time....?? Nawaza tu! Au Mama Salma atampokea Nape? Nawaza tu
 
Ina Maana Mama Salma atapewa wizara ya wanawake na watoto....JK atakubali Mama kuwa Dodoma full time....?? Nawaza tu! Au Mama Salma atampokea Nape? Nawaza tu
Hebu fafanua kidogo hapo kwenye BOLD
 
Namuona Waziri Wa Habari Utamaduni Na Michezo Mwanamke Huko Kilengelenge
 
Wengi wamekuwa wakitabiri mabadiliko ya Baraza la Mawaziri kufuatia kuteuliwa kwa Prof kuwa mbunge.....je kama ungepewa fursa ya kupendekeza ungemuweka/ungemtoa nani...???
Bashite
 
Nawaona ma tb joshua, mashehe yahaya na mapweza katika ubora wenu
 
Kubalance gender kwenye teuzi za wabunge ni takwa la kikatiba sio mapenzi ya rais.

Kumbuka aliteua wabunge wanaume watupu kabla katiba haijambana na ikabidi ampunguze mmoja na kuongeza wanawake wawili kwa mpigo...... !!!

Kubalance gender ni jambo zuri ila angeweka new blood anne kilango na mama salma wote walikuwepo kwenye serikalo iliotufikisha hapa tulipo je kwanni asiteue fresh blood ya wanawake wenye track record ya utendaji kwenye taasisi tofauti tofauti hapa tanzania!!!

Kma head hunting ndio hawa kilango,bulembo na salma kikwete then nchi yetu ina tatizo kubwa sana...... maana hawa wote walikuwepo awamu iliopita kwenye ngazi za juu za chama na serikali na hawakufanya lolote la maana je ni miujiza gani watakayotumia ndani ya mwaka mmoja toka serikali ibadilishwe walete maendeleo walioshindwa ndani ya mwaka mmoja uliopita????
 
Nani husimamia kilimo??
Nani husimamia maliasili na utalii???
Nani naibu wa michezo??
Nani yuko TAMISEMI???

Hapa patamu - nachoona JM hawezi kuondolewa kwa kuwa alifanya kazi kubwa ya kisayansi kuaminisha ushindi 2015.
 
Ina Maana Mama Salma atapewa wizara ya wanawake na watoto....JK atakubali Mama kuwa Dodoma full time....?? Nawaza tu! Au Mama Salma atampokea Nape? Nawaza tu
Na mimi niliwaza hivo jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…