chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,118
Au King Wa Ngwala..NAPE MOSSES MNAUYE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au King Wa Ngwala..NAPE MOSSES MNAUYE
Mkuu Pascal
Exactly there something around the corner "
Huyu professor Wa udsm alikuwa hazina kubwa sana Kwa taifa........
Lakini naona anapelekwa kwenye wizara iliyoshindika kumu maliza ya Nishati na madini..........
Bado naamini January makamba atabaki pamoja na kusemwa sana......
Kama nawaona hivi Magembe,Mpango na Muhongo........
Let's wait na see......
Kazi ya headhunting inaendelea, katika kuyasuka mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri, sijui Mama Kikwete atampa wizara gani? .Wanabodi,
Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila likifanyika jambo, huangalii tuu jambo lililofanyika bali unajiuliza the motive behind kufanyika kwa jambo fulani.
Jambo lililofanyika leo ni hili
Kufuatia uteuzi huu, then, this is a sign, very soon, end ikawa, kutafanyika mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri!.
Na kama hili litafanyika, nakiri, Prof. Kabudi ni one of the gifted best brains we have hapa nchini kwetu kwenye tasnia ya sheria.
NB. Hakuna direct propotionality na co relation between the best brains kwenye academia na the best result oriented performance kwenye nafasi za utendaji!.
Swali linabaki nani ambao wame proove kuwa non performers hivyo wame flop na wanapaswa kuondoka, na nani wataingia mmoja wao akiwa ni huyu mteuliwa mpya?!.
Congratulation wateuliwa, we wish you all the best!.
Lets just wait and see
Paskali
kabisaaNdalichako awe wakwanza kutumbuliwa!
Wizara imemshinda kabisa
Mkuu mbona ile ID yako ya Pasko umeisusa toka ile siku tuliyopewa maana ya Mayalla na mkulu pale nyumba nyeupe??Kazi ya headhunting inaendelea, katika kuyasuka mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri, sijui Mama Kikwete atampa wizara gani? .
Hii ni dalili njema kwa sababu angalau sasa the gender sense ime sink kwenye his brain na teuzi hizi za Mama Anne Kilango na Mama Salma Kikwete, ni good signs za gender mainstreaming kwenye baraza la mawaziri.
Bado uteuzi wa mwanamke mwingine mmoja wa mwisho, kwa maoni yako amuongeze nani?.
Paskali
Hebu fafanua kidogo hapo kwenye BOLDIna Maana Mama Salma atapewa wizara ya wanawake na watoto....JK atakubali Mama kuwa Dodoma full time....?? Nawaza tu! Au Mama Salma atampokea Nape? Nawaza tu
BashiteWengi wamekuwa wakitabiri mabadiliko ya Baraza la Mawaziri kufuatia kuteuliwa kwa Prof kuwa mbunge.....je kama ungepewa fursa ya kupendekeza ungemuweka/ungemtoa nani...???
Kubalance gender kwenye teuzi za wabunge ni takwa la kikatiba sio mapenzi ya rais.Kazi ya headhunting inaendelea, katika kuyasuka mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri, sijui Mama Kikwete atampa wizara gani? .
Hii ni dalili njema kwa sababu angalau sasa the gender sense ime sink kwenye his brain na teuzi hizi za Mama Anne Kilango na Mama Salma Kikwete, ni good signs za gender mainstreaming kwenye baraza la mawaziri.
Bado uteuzi wa mwanamke mwingine mmoja wa mwisho, kwa maoni yako amuongeze nani?.
Paskali
Na mimi niliwaza hivo jana.Ina Maana Mama Salma atapewa wizara ya wanawake na watoto....JK atakubali Mama kuwa Dodoma full time....?? Nawaza tu! Au Mama Salma atampokea Nape? Nawaza tu
Dah mkuu umenivunja mbavu hasa nikijua wa tz tunaishi sana kwa matukioTulijadili hili leo tuu,kesho tunarudi kwenye mada ya vyeti