Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 53,857 Reaction score 121,995 Mar 23, 2017 Thread starter #221 Kufuatia kilichotokea leo, trends zinanieleza kuwa Bulembo ateteuliwa post nyingine, kisha Bashite ateteuliwa ubunge na kupewa Mambo ya Ndani. Paskal
Kufuatia kilichotokea leo, trends zinanieleza kuwa Bulembo ateteuliwa post nyingine, kisha Bashite ateteuliwa ubunge na kupewa Mambo ya Ndani. Paskal
StraTon MemPhis GhaZar JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 592 Reaction score 387 Mar 23, 2017 #222 Doh....trend reading
R rashaldo New Member Joined Mar 30, 2016 Posts 2 Reaction score 2 Mar 23, 2017 #223 ya Dr.Kabudi yametimia mkuu
R rashaldo New Member Joined Mar 30, 2016 Posts 2 Reaction score 2 Mar 23, 2017 #224 ya Dr.Kabudi yametimia
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 18,960 Reaction score 67,654 Aug 20, 2017 #225 Hayana tija
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Aug 21, 2017 #226 Baraza la mawaziri halina tija zaidi kusema ndio au kukaa kimya maana wanatukanwa humo ndani na kukosolewa personal issue zao badala agenda!! Visasi juu visasi wameamua kususa na kukaa kimya
Baraza la mawaziri halina tija zaidi kusema ndio au kukaa kimya maana wanatukanwa humo ndani na kukosolewa personal issue zao badala agenda!! Visasi juu visasi wameamua kususa na kukaa kimya
bushland JF-Expert Member Joined Mar 6, 2015 Posts 7,015 Reaction score 4,985 Aug 21, 2017 #227 Pascal Mayalla said: Kufuatia kilichotokea leo, trends zinanieleza kuwa Bulembo ateteuliwa post nyingine, kisha Bashite ateteuliwa ubunge na kupewa Mambo ya Ndani. Paskal Click to expand... Bashite awe mambo ya ndani? Hichi Ni kituko
Pascal Mayalla said: Kufuatia kilichotokea leo, trends zinanieleza kuwa Bulembo ateteuliwa post nyingine, kisha Bashite ateteuliwa ubunge na kupewa Mambo ya Ndani. Paskal Click to expand... Bashite awe mambo ya ndani? Hichi Ni kituko
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 53,857 Reaction score 121,995 Sep 7, 2017 Thread starter #228 Leo katika kupokea ripoti mbili za Bunge, trend reading zinaelekeza kupatikana kwa mrithi wa Prof. Muhongo. P.
Leo katika kupokea ripoti mbili za Bunge, trend reading zinaelekeza kupatikana kwa mrithi wa Prof. Muhongo. P.