Tetesi: Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.

Tetesi: Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.

Baraza la mawaziri halina tija zaidi kusema ndio au kukaa kimya maana wanatukanwa humo ndani na kukosolewa personal issue zao badala agenda!! Visasi juu visasi wameamua kususa na kukaa kimya
 
Leo katika kupokea ripoti mbili za Bunge, trend reading zinaelekeza kupatikana kwa mrithi wa Prof. Muhongo.

P.
 
Back
Top Bottom