Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Huko tweeter Kuna meme imeenda sana viral ambayo inaonyesha wanaume wamejipanga mstari wa foleni wakiwa uchi na mmoja kati yao amevaa nguo huku kashika maua wakipata huduma ya mapenzi kwa mwanamke
View attachment 2635823
Maelezo ya picha
Picha inakusudia kuonyesha maisha ya nyuma ya mwanamke kabla hajaolewa kwamba kabla mwanamke hajafikia kwenye ndoa basi tayari anakuwa katembea na wanaume wengi hivyo ni muhimu mwanaume kuzingatia your girlfriend past ,hao waliokuwa uchi ni bad boys (wale wazee wa hit and run) na huyo mwamba aliyeshika maua ndio muoji mwenyewe
Picha inasindikizwa na caption "Her past matter"
Swali la msingi , Does her past matter?
Je Kuna umuhimu wowote wa kuzingatia maisha ya zaman ya mpenzi wako?
Jibu ni Ndiyo
Maisha nyuma ya mtu yanamfanya kuwa vile alivyo sasa past yako ndio msingi wa maisha unayoishi sasa . Sisi sote tupo tulivyo kwa sababu ya uzoefu, mzuri na mbaya, ambao yametuunda.
Umuhimu wa jambo hili hata wazee wetu wanalijua ndio maana walizangitia kuoa katika familia zinazofahamika na zilizojirani hili iwe rahisi kuzichunguza
Huwezi kumpenda mtu usiyemjua. Huwezi kumjua mtu bila kuelewa maisha yake ya nyuma.
Her past matter
Memes
Watu wakaanza kusema hio foleni mbona ndogo iongezwe kidogo
Its getting longer
Wazee wa kucheat line