Trend ya mabinti wengi kuolewa na wababu, vijana wa kiume tunakwama wapi

AlphaMale

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
613
Reaction score
1,416
Hapa mtaani kuna wadada warembo wenye miaka 22, au 20 kama watatu, wote nawafahamu, wameolewa na wanaume ambao kiumri, ni sawa na baba zao kama si babu zao.

sasa najiuliza hao wabinti kwa jinsi walivo wadogo na warembo, wamekosa kabisa vijana wenzao wa kuwaoa..
 
labda wanataka kubemendwa. Unoz??
 
Hapa mtaani kuna wadada warembo wenye miaka 22, au 20 kama watatu, wote nawafahamu, wameolewa na wanaume ambao kiumri, ni sawa na baba zao kama si babu zao.

sasa najiuliza hao wabinti kwa jinsi walivo wadogo na warembo, wamekosa kabisa vijana wenzao wa kuwaoa..
Wewe akili zako zinakuambia kwamba kigezo cha kuolewa ni umri tu...........
 
Wengi wanaume tunazngua hatutaki kuoa mapema kwa sabab tunazojua wenyewe, waschana weng kwene huo umri wako tayar kuanzsha familia, so iskutishe ikfka wakat wako tafta kitoto na ww
 
Hapa mtaani kuna wadada warembo wenye miaka 22, au 20 kama watatu, wote nawafahamu, wameolewa na wanaume ambao kiumri, ni sawa na baba zao kama si babu zao.

sasa najiuliza hao wabinti kwa jinsi walivo wadogo na warembo, wamekosa kabisa vijana wenzao wa kuwaoa..
Tukizeeka tutawaoa.
 
Wazee ndio mpango mzima. Stress free.
 
Hapa mtaani kuna wadada warembo wenye miaka 22, au 20 kama watatu, wote nawafahamu, wameolewa na wanaume ambao kiumri, ni sawa na baba zao kama si babu zao.

sasa najiuliza hao wabinti kwa jinsi walivo wadogo na warembo, wamekosa kabisa vijana wenzao wa kuwaoa..
Sasa hapo inabidi mjiulize ww na vijana Wa hapo mtaani kwenu mnapokwamia ni wapi?
Huku kwetu sisi hatufanyi ujinga huo
 
Back
Top Bottom