Trend ya mabinti wengi kuolewa na wababu, vijana wa kiume tunakwama wapi

Vijana hatutafut hela,wazee wanatupiga gape, sema nn hao wenyew wakisha pata wanachokitaka wanakuja kwa vijana tena maisha s
Circulation
 
Matunzo..wazee wanalea vizuri Sana.
 
Hapa mtaani kuna wadada warembo wenye miaka 22, au 20 kama watatu, wote nawafahamu, wameolewa na wanaume ambao kiumri, ni sawa na baba zao kama si babu zao.

sasa najiuliza hao wabinti kwa jinsi walivo wadogo na warembo, wamekosa kabisa vijana wenzao wa kuwaoa..

Kwanza ni 1. Uroho wa mali. Vibabu vingi vina fedha na vijana bado wanatafuta
2. Uwezo wa kingono. Vizee ni bao moja lakini vijana wanapiga wanataka wafie kiunoni
3. Tatu utapeli. Vijana watapeli wa mapenzi no future kwa wanawake lakini vizee future ipo
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom