labda wanataka kubemendwa. Unoz??Hapa mtaani kuna wadada warembo wenye miaka 22, au 20 kama watatu, wote nawafahamu, wameolewa na wanaume ambao kiumri, ni sawa na baba zao kama si babu zao.
sasa najiuliza hao wabinti kwa jinsi walivo wadogo na warembo, wamekosa kabisa vijana wenzao wa kuwaoa..
Wewe akili zako zinakuambia kwamba kigezo cha kuolewa ni umri tu...........Hapa mtaani kuna wadada warembo wenye miaka 22, au 20 kama watatu, wote nawafahamu, wameolewa na wanaume ambao kiumri, ni sawa na baba zao kama si babu zao.
sasa najiuliza hao wabinti kwa jinsi walivo wadogo na warembo, wamekosa kabisa vijana wenzao wa kuwaoa..
Tukizeeka tutawaoa.Hapa mtaani kuna wadada warembo wenye miaka 22, au 20 kama watatu, wote nawafahamu, wameolewa na wanaume ambao kiumri, ni sawa na baba zao kama si babu zao.
sasa najiuliza hao wabinti kwa jinsi walivo wadogo na warembo, wamekosa kabisa vijana wenzao wa kuwaoa..
Sisi wazee tunawaenjoy sana mabinti wa 25-30yo. Wanachotaka ni pesa tu![emoji39]Na wewe ukifikisha 60 yes vuta kabinti
Una pesa?Sisi wazee tunawaenjoy sana mabinti wa 25-30yo. Wanachotaka ni pesa tu![emoji39]
Nichangamkie fursaSisi wazee tunawaenjoy sana mabinti wa 25-30yo. Wanachotaka ni pesa tu![emoji39]
Sina ya kufanyia kufuru, ila kwa anasa za kawaida hell njoo. Au kwako pesa ni shilingi ngapi...Una pesa?
Sasa hapo inabidi mjiulize ww na vijana Wa hapo mtaani kwenu mnapokwamia ni wapi?Hapa mtaani kuna wadada warembo wenye miaka 22, au 20 kama watatu, wote nawafahamu, wameolewa na wanaume ambao kiumri, ni sawa na baba zao kama si babu zao.
sasa najiuliza hao wabinti kwa jinsi walivo wadogo na warembo, wamekosa kabisa vijana wenzao wa kuwaoa..
Hizohizo tugawane😂😂😂Sina ya kufanyia kufuru, ila kwa anasa za kawaida hell njoo. Au kwako pesa ni shilingi ngapi...
Njoo kwana kwa ile outing yetu. Nakusubiri hapa tangibovu.Hizohizo tugawane[emoji23][emoji23][emoji23]