agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
π π tangibovu ndo wapi?Njoo kwana kwa ile outing yetu. Nakusubiri hapa tangibovu.
Ndio napita hapa Massana![emoji39][emoji23] [emoji23] tangibovu ndo wapi?
DuuuNdio napita hapa Massana![emoji39]
Nini tena Agatha, unaipotezea nafasi hiyo eehDuuu
Wewe umeninyima fursaNini tena Agatha, unaipotezea nafasi hiyo eeh
Hapa mtaani kuna wadada warembo wenye miaka 22, au 20 kama watatu, wote nawafahamu, wameolewa na wanaume ambao kiumri, ni sawa na baba zao kama si babu zao.
sasa najiuliza hao wabinti kwa jinsi walivo wadogo na warembo, wamekosa kabisa vijana wenzao wa kuwaoa..
HahahaHapa mtaani kuna wadada warembo wenye miaka 22, au 20 kama watatu, wote nawafahamu, wameolewa na wanaume ambao kiumri, ni sawa na baba zao kama si babu zao.
sasa najiuliza hao wabinti kwa jinsi walivo wadogo na warembo, wamekosa kabisa vijana wenzao wa kuwaoa..
Kwanza ni 1. Uroho wa mali. Vibabu vingi vina fedha na vijana bado wanatafuta
2. Uwezo wa kingono. Vizee ni bao moja lakini vijana wanapiga wanataka wafie kiunoni
3. Tatu utapeli. Vijana watapeli wa mapenzi no future kwa wanawake lakini vizee future ipo