DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hii trend ya wanawake kunyoa vipara hasa huku uswahilini ni uchawi tu na kuamini ushirikina nothing else .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm mwenyewe najiuliza. Kipara cha wapi? Alete video kwa ushahidiKipara kipi tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hela za kusuka hamtoi, tukinyoa nako shida [emoji28][emoji28][emoji28]
Hii trend ya wanawake kunyoa vipara hasa huku uswahilini ni uchawi tu na kuamini ushirikina nothing else .
Nielekeze aunt na mie, mie nanyoa kule Sinza kuna classic saloon.Mwaka wa tatu ninakata
Siyo nakata "babashopu" za uswahilini.
Ninakata Kule mlimani tower.
Kukiwa kuna sherehe nataka kubadilika ninaweka extension au navaa lace wig.
Maisha ya kunyoa raha sana.
Wapeni pesa za saloon muone kama watanyoa
Wafanye Kazi watapata hela
Wengine wana vipilipili hawavitaki....bora kukaa na kipara tuHii trend ya wanawake kunyoa vipara hasa huku uswahilini ni uchawi tu na kuamini ushirikina nothing else .
Hapa naona kiblich changu kimeisha kichwani ngja nikakiweke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]