Trending ID

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Ni kama msimu tu ndani ya JF kuna kipindi ID flani zinakuwa trending mfano Joseverest lakini siku zinavyozidi kwenda zinapotea na kuibuka trending ID nyingine.

Kwa sababu JF hakuna list ya trending ID kama kule youtube wanavyogombania video zao kuwa top trending basi uzi huu ni wa kutaja ID ambazo ziko trending kwa sasa.

--Fundi bishoo.
--Hajar
--Zero iq
--Demis
--Mzigua90
--Kichwa kichafu
--Mshana jr.
--Hearly
--slim5
--manengelo
--machungwa
--Frank wanjiru
--yna2
--skyeclate
--Gentamycin
--mbao za Mawe
--Wa stend

Na wengine wengi ila hao ni baadhi tu kama hujawahi kupata like au coment zao kwenye uzi wako kwa ID taja hapo juu msimu huu basi kaoge maji ya bahari.
 
Watu wakiharibu wanakuja na identity zingine, wanasahau kuwa kilichopo moyoni hakibadiliki. Ndio maana wengine ni rahisi kutambua identities zao za zamani kwa kuwasoma tu.

Ila, to each his own!!
 
Wengi ni walewale wanakuja na ID mpya.
Inawezekana ile kutojulikana imebadilika na ameshakutana na wadau kadhaa sasa anaona akifunguka kitu humu ilihali watu wanamjua hatokua huru.
Kama ni wale wapenzi wa jukwaa letu pendwa MMU anaona akishapost mada atakua keshajivua nguo kabisa.
 
Angalizo: usituingize face book, [emoji849][emoji849]..!!
 
Hapo nimemwona mmoja tuu hao wengine ni wakawaida sana
 
Vipi kodi wanalipa lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…