nimefanya nini tena Mkuu "" Mimi sina cheti cha kuzaliwa cha nyanya mzaa bibi yangu Ujue ""Uhamiaji njooni huku. Kuna mteja wenu.
Hahahaha. Mazee kiswahili ulotumia kwa ile post yako kuna neno moja kutoka jirani zetu wale wanaoita Chupi=Ngodhanimefanya nini tena Mkuu "" Mimi sina cheti cha kuzaliwa cha nyanya mzaa bibi yangu Ujue ""
hahaaaHahahaha. Mazee kiswahili ulotumia kwa ile post yako kuna neno moja kutoka jirani zetu wale wanaoita Chupi=Ngodha
Mhh!! Baby unataka fumanizi....?Una maneno wewe
Mkuu, nipo hapa Ipalamwa mbona sikuoni? Ndiyo nimetokea Magubike πππππHaya mliotajwa hapo naombe
ni like zenu nisafishe nyota.
Teh teh teh
Anapalilia maharage yakeKuna huyu anaitwa Daby,, kaendaga wapi!!!
Nipo Mkuu vipi kuna teuzi humu?Kuna huyu anaitwa Daby,, kaendaga wapi!!!
Mavuno nitawaiteni na mmeo andaeni vipepeteo.Anapalilia maharage yake
Wajomba wanatanguliza shuukran, menu ya wali maharage hata waliolala wanaamka kula.Mavuno nitawaiteni na mmeo andaeni vipepeteo.
Ukuu wa Wilaya....Nipo Mkuu vipi kuna teuzi humu?