Makosa
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 1,183
- 2,622
Ve mwana mudesi ve ππMkuu, nipo hapa Ipalamwa mbona sikuoni? Ndiyo nimetokea Magubike πππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ve mwana mudesi ve ππMkuu, nipo hapa Ipalamwa mbona sikuoni? Ndiyo nimetokea Magubike πππππ
hahaha....Uchague tukupeleke nyanda zipi?
Kwetu ndio kwenu pia....sawa basi. ...wazee watakuandalia.hahaha....
Huko kwenu.
Shunie hujamuweka?Ni kama msimu tu ndani ya JF kuna kipindi ID flani zinakuwa trending mfano Joseverest lakini siku zinavyozidi kwenda zinapotea na kuibuka trending ID nyingine.
Kwa sababu JF hakuna list ya trending ID kama kule youtube wanavyogombania video zao kuwa top trending basi uzi huu ni wa kutaja ID ambazo ziko trending kwa sasa.
--Fundi bishoo.
--Hajar
--Zero iq
--Demis
--Mzigua90
--Kichwa kichafu
--Mshana jr.
--Hearly
--slim5
--manengelo
--machungwa
--Frank wanjiru
--yna2
--skyeclate
--Gentamycin
--mbao za Mawe
--Wa stend
Na wengine wengi ila hao ni baadhi tu kama hujawahi kupata like au coment zao kwenye uzi wako kwa ID taja hapo juu msimu huu basi kaoge maji ya bahari.
Nipo Mzee babaNaona umetoka kolokoloni mkuu.?
Nipo Mkuu vipi kuna teuzi humu?
Haaaa!Ndala be! Nilibaha muyangu.πππππVe mwana mudesi ve ππ
HAhah ni mfanano wa majina amaaaa??
Kuna mmoja hapo ana ID zaidi ya kumi... Machoni kama mtu... Lakini ni bonge la mnafique... Anakuja na ID ya kwanza analike na kukupa sifa kibao... Halafu anabadili ID na kukuponda mbaya mxiuuu[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34]Ni kama msimu tu ndani ya JF kuna kipindi ID flani zinakuwa trending mfano Joseverest lakini siku zinavyozidi kwenda zinapotea na kuibuka trending ID nyingine.
Kwa sababu JF hakuna list ya trending ID kama kule youtube wanavyogombania video zao kuwa top trending basi uzi huu ni wa kutaja ID ambazo ziko trending kwa sasa.
--Fundi bishoo.
--Hajar
--Zero iq
--Demis
--Mzigua90
--Kichwa kichafu
--Mshana jr.
--Hearly
--slim5
--manengelo
--machungwa
--Frank wanjiru
--yna2
--skyeclate
--Gentamycin
--mbao za Mawe
--Wa stend
Na wengine wengi ila hao ni baadhi tu kama hujawahi kupata like au coment zao kwenye uzi wako kwa ID taja hapo juu msimu huu basi kaoge maji ya bahari.
Kwa sababu umesema wewe mkuu nakuamini watu wapo kama vinyongaKuna mmoja hapo ana ID zaidi ya kumi... Machoni kama mtu... Lakini ni bonge la mnafique... Anakuja na ID ya kwanza analike na kukupa sifa kibao... Halafu anabadili ID na kukuponda mbaya mxiuuu[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34]
MMMMHKwetu ndio kwenu pia....sawa basi. ...wazee watakuandalia.
MMMMH
nimekumiss pia sana my sista, ila juzi kati nilikuja chugga sijakuona..ulikuwa busyAisee, sijawahi kumiss mtu kama nilivyokumiss wewe. ...mzima lakini.
nimekumiss pia sana my sista, ila juzi kati nilikuja chugga sijakuona..ulikuwa busy