Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
oooh yeah karibu sanaHujanitafuta vizuri. ...nipo niende wapi? Nitakutafuta nikija Mjini. ...
Shukrani. ..uwe na siku njemaoooh yeah karibu sana
Shukrani. ..uwe na siku njema
kwako pia dada yangu kipenzi, NAKUPENDAShukrani. ..uwe na siku njema
Underground mimi....[emoji6]
Utakuwa upcoming siyo underground, next episode utakuwa wewe ndo top.
kwako pia dada yangu kipenzi, NAKUPENDA
Hapana baeMhh!! Baby unataka fumanizi....?
Hahahahhahaahahaa. Kaka umetka siriKuna mmoja hapo ana ID zaidi ya kumi... Machoni kama mtu... Lakini ni bonge la mnafique... Anakuja na ID ya kwanza analike na kukupa sifa kibao... Halafu anabadili ID na kukuponda mbaya mxiuuu[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34]
Na mimi je nipende ata nje ya mojo sawa
Kila mtu na lwake??Watu wakiharibu wanakuja na identity zingine, wanasahau kuwa kilichopo moyoni hakibadiliki. Ndio maana wengine ni rahisi kutambua identities zao za zamani kwa kuwasoma tu.
Ila, to each his own!!