Ndio kiongozi!!Kila mtu na lwake??
Watu wengi wanasema eti huyo wa pili tangu aondoe mifuniko ya ndoo ktk macho yake anasahaulika sana.Zero IQ kwa mamlaka nliopewa na tume ya uchaguzi, nabatilisha uchaguzi wako wa kuteua hayo majina. (Jecha S. Jecha)
Haiwezekani hawa jamaa kukosekana katika list yako.
lucas mobutu
Kanungila Karim
ipo now imefikia 0.0012 unataka iongezeke zaidi ya hapo tena mkuu?
Aaah kwa hiyo niko undercontrol mkuu
KwakweliHii list ni fake coz yangu haipo.Hujajua tu nilivo maarufu humu
Natamani nimjue...hahaKuna mmoja hapo ana ID zaidi ya kumi... Machoni kama mtu... Lakini ni bonge la mnafique... Anakuja na ID ya kwanza analike na kukupa sifa kibao... Halafu anabadili ID na kukuponda mbaya mxiuuu[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34]
Nimekumiss tuNiambie mama
Aise....Nimekumiss tu
VipiAise....
Kuna mmoja hapo ana ID zaidi ya kumi... Machoni kama mtu... Lakini ni bonge la mnafique... Anakuja na ID ya kwanza analike na kukupa sifa kibao... Halafu anabadili ID na kukuponda mbaya mxiuuu[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34]
Hahahaha....nilivyoona neno I love u mapigo yangu ya moyo yanadunda "dukuduku" nimejikuta naandika I love you tooNimekumisi me more nilivyoona tu hiyo sms yako moyo ukafanya paa na kuandika I love u.
Wengine walikua wanasema anavaa miwani ya mafundi welding[emoji18]Watu wengi wanasema eti huyo wa pili tangu aondoe mifuniko ya ndoo ktk macho yake anasahaulika sana.