Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulitaka lini? 😂😂 nyie watu wa Dar mbona mna siri hivyoWabongo mbona wababaishaji, c mlitaka treni nyoka ndo hy sasa 😂
Safi.Zimechongoka/zimekonda kama mkojo wa asubuhi.Ni kama zile bombadiers.Full kuchongoka ili zikate upepo.😂😂😂😂Seti ya kwanza ya EMUView attachment 2953191
Eh mm sio wa Dar, mm niko navuta bangi zangu huku ungalimited Arusha.Tulitaka lini? 😂😂 nyie watu wa Dar mbona mna siri hivyo
Angalieni bei zenu za nauli tumepanda sana hizo treni nchi za watu lakini si bei hizo mlizopanga nyinyi moro ni heri ununue boda boda!Seti ya kwanza ya EMUView attachment 2953191
Usiwaamini sana ccm.Hongereni Sana
Mkuu acha kutaja starehe za watu ovyo ovyo bhana.Safi.Zimechongoka/zimekonda kama mkojo wa asubuhi.Ni kama zile bombadiers.Full kuchongoka ili zikate upepo.😂😂😂😂
Unamwaga kojo huku unasinzia kwa raha?Hatari sana.Mkuu acha kutaja starehe za watu ovyo ovyo bhana.
Mkojo wa asubuhi wengine ndiyo starehe yetu iliyobakia.
Raha sana, halafu iwe umeshikiliziwa naniliu.Unamwaga kojo huku unasinzia kwa raha?Hatari sana.
Hapo hata kama ulikuwa na kitita kikubwa unamwambia bibie achukue chote akuachie nauli ya bodaboda tu.Uchawi upo wa aina kwa aina.Raha sana, halafu iwe umeshikiliziwa naniliu.
Lakini kina mama wa siku hizi tatizo wabishi sana kutoa ushirikiano.
bora hii inaonekana mpya kuliko ile mliyokuwa mnafanyia nayo majaribio
Mbona pua yake imekatwa, na hicho kipande kipo wapi?Seti ya kwanza ya EMU
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa ya kuwasili katika Bandari ya Dar es salaam kwa seti ya kwanza ya Treni ya kisasa ya EMU, Vichwa vitano vya umeme na Mabehewa matatu ya Abiria ( iliyowasili ni seti moja ambayo kikawaida hufungwa behewa nane na vichwa viwili kimoja mbele na kimoja nyuma).
Taarifa iliyotolewa leo April 03,2024 na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano- TRC, Jamila Mbarouk imeeleza yafuatayo ——— > “Kupitia TRC ilifanya manunuzi ya seti kumi (10) za Treni za kisasa zijulikanazo kama Electric Multiple Unit (EMU) kutoka kwa Watengenezaji kampuni ya Hyundai Rotem ya Korea Kusini, seti moja ya EMU ina uwezo wa kubeba Abiria 589 na kutembea kilomita 160 kwa saa, EMU ni treni iliyoundwa kwa teknolojia ya kisasa inayomuwezesha Abiria kupata huduma kama Wi-FI, sehemu za kukaa Watu wenye mahitaji maalum n.k”
“Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania imepokea jumla ya Mabehewa 65 ya Abiria, Vichwa 9 vya umeme na seti moja ya EMU, seti nyingine za EMU zitaendelea kuwasili kila mwezi hadi Oktoba 2024, kuwasili kwa vitendea kazi kunaifanya TRC kuwa tayari kuanza huduma za usafirishaji Abiria katika reli ya kiwango cha kimataifa”
“Maendeleo ya mradi wa SGR awamu ya kwanza yamefikia asilimia 98.90 kwa kipande cha Dar es salaam - Morogoro (KM 300), asilimia 96.51 kipande cha Morogoro - Makutupora, asilimia 13.98 kipande cha Makutupora - Tabora, asilimia 5.44 kipande cha Tabora - Isaka, asilimia 54.01 kipande cha Mwanza - Isaka
View attachment 2953191