Treni Mchongoko yawasili nchini

Tulitaka lini? 😂😂 nyie watu wa Dar mbona mna siri hivyo
Eh mm sio wa Dar, mm niko navuta bangi zangu huku ungalimited Arusha.

Watu wa Dar ndo wanataka treni nyoka kichwa kiguse ardhi.
 
Tanzania Railways Corp ,hongereni tunawaamini sasa watanzania. Nina ombi kutoka kwenu.
1.Endeleeni kutupa 'updates' kujibu maswali na kutuelimisha kupitia ukurasa huu wa #jamii forums.
 
bora hii inaonekana mpya kuliko ile mliyokuwa mnafanyia nayo majaribio
Mbona pua yake imekatwa, na hicho kipande kipo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…