A
Anonymous
Guest
Ni jambo la kusikitisha kwa reli ya kimataifa kama hii ambayo inadaiwa kutumia viwango vya kimataifa kuziba njia za wakazi wa Makulu na kusababisha watu kuhama kwa muda kwani hakuna njia ya kuingilia wala kutokea serikali ifike haraka kutatua changamoto hio kwa wakazi wa Makulu Dodoma mjini.