Moja ya mradi mkubwa hapa nchini ambao umeleta faraja lakini kutomana na uzembe wa watu wachache umeleta majonzi kwa wakazi wa makulu dodoma kutokana na kuzibiwa njia na uzio wa sgr bila kuweka njia mbadala kupelekea watu kushindwa kufika makwao ni msaada wa haraka sana unahitajika hata picha nimeshindwa kupiga kwa hapafikiki