JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kuna ujumbe huu unasambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya ajali ya treni kugongana uso kwa uso, mwenye taarifa kamili atupatie, inasemekana imetokeo usiku huu Jumatano Oktoba 18, 2023.
Ujumbe unaosambaa na video hiyo unasema "Ajali hii imetokea usiku huu hapa station ya Mwakanga, treni ya mizigo imegongana na treni ya abiria USO kwa USO.
Majeruhi ni weng ni akina mama na Watoto kama una ndugu yako hua anatumia usafiri huu kutoka Tazara kwenda Pugu basi fatilia ujue hali yake."
Taarifa ya TAZARA: TAZARA yatoa taarifa ya ajali ya Treni ya abiria na mizigo zilizogongana uso kwa uso maeneo ya Mwakanga, 62 wajeruhiwa