Chombo ni kipya, mitambo ya umeme ni mipya, na umeme upo. Nadhani juzi TANESCO walisema tunakimbia na ziada, na maji pia, kama ilivyosemwa na DAWASCO siku tatu zilizopita. Lakini leo, Jumapili, maji yamekata!😂Imetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi.
Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea.
Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine wanashuka na kupanda boda; wanaenda wapi, sijui. Tangazo la TRC linasema mafundi wapo kazini.
Chombo ni kipya, mitambo ya umeme ni mipya, na umeme upo. Nadhani juzi TANESCO walisema tunakimbia na ziada, na maji pia, kama ilivyosemwa na DAWASCO siku tatu zilizopita. Lakini leo, Jumapili, maji yamekata!
Abiria wapo, hivyo operesheni na mtaji wa matengenezo vipo.
Tatizo nini?
Wazalendo ndani ya TRC, tafadhali tujulishe kupitia njia zetu za kujuzana. Viongozi watatudanganya. Hawana dini. Waliwahi kusema Rais ametingwa na kazi Ikulu, kumbe ameshanyooka. Na waliongelea msikitini. Astakafullulilah Ladhim.
****
TAARIFA KUTOKA SHIRIKA LA RELI TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA
SHIRIKA LA RELI TANZANIA (TRC) LINAOMBA RADHI KWA ABIRIA WA TRENI YA MCHONGOKO (EMU) WALIOANZA SAFARI YAO DAR ES SALAAM KWENDA DODOMA SAA 2:00 ASUBUHI NA KUSIMAMA GHAFLA MAJIRA YA SAA 2:20 KATI YA PUGU NA SOGA
AIDHA, TUNAOMBA RADHI PIA KWA ABIRIA WETU WA TRENI YA SAA 11:15 ALFAJIRI KUTOKA DODOMA NA TRENI YA SAA 3:30 KUTOKA DAR ES SALAAM IKIJUMUISHA SAFARI NYINGINE ZA SIKU YA LEO AMBAZO ZIMEATHIRIWA KUFUATIA HITILAFU KWENYE MIFUMO YETU YA UENDESHAJI
MAFUNDI WETU WAKO ENEO LA TUKIO WANAFANYIA ΚΑΖΙ CHANGAMOTO HIYO, TUTAENDELEA KUWAPATIA TAARIFA
TUNATANGULIZA SHUKURANI
View attachment 3142521
Marekebisho ya kiufundi ?Gentleman,
sasa ulitaka kifanyike nini zaidi ya matengenezo na marekebisho ya kiufundi ili hatimae safari iendelelee kwa usalama zaidi.
Lazima kua wastahimilivu, waangalifu na wenye subra sana kwenye masuala hususani ya usafiri wa kisasa unaotumia umeme 🐒
Mimi nasafairi sana na ndege lakini juzi dakika za mwisho nikaambiwa badala ya kuondoka mchana itakuwa jioni sababu ya kiufundi ni kweli unakuwa unakasirika kidogo lakini mwisho wa siku usalama na yanatokea haya lakini ukiuuliza % ngapi inatokea utakuta sio issue kabisa. Tuache kukuza mambo.Binafsi sina lawama hata kidogo na SGR nasafiri kibos sana dar dom
Hayo ni makosa tu ya kibinadamu.
Duh!Hivi haya matreni yanavyobuma kila siku haiwezekani siku moja yakagongana?
= gharamaMwanzo ni mgumu ndugu zangu! Tuwe wavumilivu kila kitu kitakaa sawa. Kumbukeni hatujwahi kuwa nazo treni hizi kabla.
Serikali isingekua na nia ya kuwasaidia wasafiri hasa katika upunguzaji wa ghalama, wasingejenga hii reli. Miundombinu yoyote inayojengwa hailengi kumkomoa mwananchi bali kumsaidia.
Ni vyema kutoa mawazo chanya kuliko kupopoa. Kumbukeni ni mali zetu wenyewe
Je, inashindikana Nini hilo treni kuvutwa na treni nyingine iliyo nzima ili iweze kufika stesheni na kuruhusu safari zingine za treni kuendelea na shughuli zake kwa mujibu wa ratiba zake? What's wrong about this?Gentleman,
sasa ulitaka kifanyike nini zaidi ya matengenezo na marekebisho ya kiufundi ili hatimae safari iendelelee kwa usalama zaidi.
Lazima kua wastahimilivu, waangalifu na wenye subra sana kwenye masuala hususani ya usafiri wa kisasa unaotumia umeme 🐒
Yani ilo swala nimeshajiuliza mara elf 1...maana inaonesha bado uendeshaji haujakaa sawa.Hivi haya matreni yanavyobuma kila siku haiwezekani siku moja yakagongana?
Imetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi.
Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea.
Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine wanashuka na kupanda boda; wanaenda wapi, sijui. Tangazo la TRC linasema mafundi wapo kazini.
Chombo ni kipya, mitambo ya umeme ni mipya, na umeme upo. Nadhani juzi TANESCO walisema tunakimbia na ziada, na maji pia, kama ilivyosemwa na DAWASCO siku tatu zilizopita. Lakini leo, Jumapili, maji yamekata!
Abiria wapo, hivyo operesheni na mtaji wa matengenezo vipo.
Tatizo nini?
Wazalendo ndani ya TRC, tafadhali tujulishe kupitia njia zetu za kujuzana. Viongozi watatudanganya. Hawana dini. Waliwahi kusema Rais ametingwa na kazi Ikulu, kumbe ameshanyooka. Na waliongelea msikitini. Astakafullulilah Ladhim.
****
TAARIFA KUTOKA SHIRIKA LA RELI TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA
SHIRIKA LA RELI TANZANIA (TRC) LINAOMBA RADHI KWA ABIRIA WA TRENI YA MCHONGOKO (EMU) WALIOANZA SAFARI YAO DAR ES SALAAM KWENDA DODOMA SAA 2:00 ASUBUHI NA KUSIMAMA GHAFLA MAJIRA YA SAA 2:20 KATI YA PUGU NA SOGA
AIDHA, TUNAOMBA RADHI PIA KWA ABIRIA WETU WA TRENI YA SAA 11:15 ALFAJIRI KUTOKA DODOMA NA TRENI YA SAA 3:30 KUTOKA DAR ES SALAAM IKIJUMUISHA SAFARI NYINGINE ZA SIKU YA LEO AMBAZO ZIMEATHIRIWA KUFUATIA HITILAFU KWENYE MIFUMO YETU YA UENDESHAJI
MAFUNDI WETU WAKO ENEO LA TUKIO WANAFANYIA ΚΑΖΙ CHANGAMOTO HIYO, TUTAENDELEA KUWAPATIA TAARIFA
TUNATANGULIZA SHUKURANI
View attachment 3142521
Naam.Yani ilo swala nimeshajiuliza mara elf 1...maana inaonesha bado uendeshaji haujakaa sawa.
Hatuombei lakn inatia shaka ipo siku yataleta majanga
No, ndege ya Boeing 737 Max wakati ilipoanguka huko Ethiopia ilikuwa na umri wa zaidi ya mwaka mmoja, ndege hiyo ilinunuliwa mwaka 2017 na ilianguka mwaka 2019.Kama Boeing 737 max haina mwaka ilianguka Ethiopia,cha kushangaza nini,wanaojua maswala ya mechanics wanalijua hili,a machine is working to include an error.Vipi wale wanaokwenda kwenye anga za juu,chombo ni kipya na siku ya kulunch kinalipuka hewani!tuwe na subira kila kitu kitakaa sawa...