Kwa maoni yangu ilitakiwa waliotengeneza hizo treni na wanaotumia hiyo mifumo wawe hapa nchini kwa walau mwaka mmoja kuwasaidia vijana wetu kwenye uendeshaji, services and maintenances...Hawajasema wataanza safari "sio muda mrefu.'
Wamesema ndani ya saa moja!
Itakuwa mida ya saa nane!
Treni limebuma saa mbili asubuhi. Itakuwa limebuma masaa sita.
Treni la Gongo La Mboto halijawahi kugoma masaa 6. In fact, halijawahi kugoma, for all we know!
Hili jipya, la kisasa, la kitaifa, kwa nini likate moto porini masaa sita ???
Kaka pole sana, tulipata taarifa umepta ajali tukatoa pole zetu kwa mshana natumai alizifikishaMungu azidi kuniweka, maana ningepitwa na mengi sana aiseeee...🤨
Daah!Sishangai kuongopewa. Kuna siku walisema Rais hajambo kumbe kafa.
Tulipopiga kelele tukionekana maboya, sasa ni zamu yao kuonekana maboyaImetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi.
Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea.
Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine wanashuka na kupanda boda; wanaenda wapi, sijui. Tangazo la TRC linasema mafundi wapo kazini.
Chombo ni kipya, mitambo ya umeme ni mipya, na umeme upo. Nadhani juzi TANESCO walisema tunakimbia na ziada, na maji pia, kama ilivyosemwa na DAWASCO siku tatu zilizopita. Lakini leo, Jumapili, maji yamekata!
Abiria wapo, hivyo operesheni na mtaji wa matengenezo vipo.
Tatizo nini?
Wazalendo ndani ya TRC, tafadhali tujulishe kupitia njia zetu za kujuzana. Viongozi watatudanganya. Hawana dini. Waliwahi kusema Rais ametingwa na kazi Ikulu, kumbe ameshanyooka. Na waliongelea msikitini. Astakafullulilah Ladhim.
=====
Ufafanuzi wa TRC soma hapa: TRC yaomba radhi Treni ya Mchongoko Dar-Dodoma kusimama ghafla kati ya Pugu na Soga
MCAS computer systemKama Boeing 737 max haina mwaka ilianguka Ethiopia,cha kushangaza nini,wanaojua maswala ya mechanics
Asante sana mkuu, salam nyingi sana zilinifikia na Mungu azidi kuwabariki sanaKaka pole sana, tulipata taarifa umepta ajali tukatoa pole zetu kwa mshana natumai alizifikisha
mwanzo mgumu. kwa waliotumia sgr watakubaliana kuwa tunatakiwa kutokatisha tamaa, ni hatua moja kubwa sana tumepiga. wenye A tatu watakuwa wameelewa. wengine povu ruksa.Imetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi.
Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea.
Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine wanashuka na kupanda boda; wanaenda wapi, sijui. Tangazo la TRC linasema mafundi wapo kazini.
Chombo ni kipya, mitambo ya umeme ni mipya, na umeme upo. Nadhani juzi TANESCO walisema tunakimbia na ziada, na maji pia, kama ilivyosemwa na DAWASCO siku tatu zilizopita. Lakini leo, Jumapili, maji yamekata!
Abiria wapo, hivyo operesheni na mtaji wa matengenezo vipo.
Tatizo nini?
Wazalendo ndani ya TRC, tafadhali tujulishe kupitia njia zetu za kujuzana. Viongozi watatudanganya. Hawana dini. Waliwahi kusema Rais ametingwa na kazi Ikulu, kumbe ameshanyooka. Na waliongelea msikitini. Astakafullulilah Ladhim.
=====
Ufafanuzi wa TRC soma hapa: TRC yaomba radhi Treni ya Mchongoko Dar-Dodoma kusimama ghafla kati ya Pugu na Soga
Shukeni mkale Mabungo huko maporini huu ndo msimu wake...
Ikifanya vzr msiache pia kupiga kelele za shangwe na makofi ya pongezi!!Tulipopiga kelele tukionekana maboya, sasa ni zamu yao kuonekana maboya
🤣🤣🤣Mungu ajaalie "mifumo ya uendeshaji" ndege zetu isitokee.
Watanzania ni bogus sana, utakuta maereva waliamka na pombe, wa kichwa cha mbele anaenda Dodoma wa kichwa cha nyuma anaenda Dar.
Hakuna cha "hitilafu" wala nini kwenye mifumo ya uendeshaji, ni uzembe tu.
Bora tatizo umeligundua mapema.Mungu ajaalie "mifumo ya uendeshaji" ndege zetu isitokee.
Watanzania ni bogus sana, utakuta maereva waliamka na pombe, wa kichwa cha mbele anaenda Dodoma wa kichwa cha nyuma anaenda Dar.
Hakuna cha "hitilafu" wala nini kwenye mifumo ya uendeshaji, ni uzembe tu.
Upo coco beach unauliza baharini wapi?Bora tatizo umeligundua mapema.
Wee ...hiii ni siri....🤣🤣🤣uthithemeImetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi.
Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea.
Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine wanashuka na kupanda boda; wanaenda wapi, sijui. Tangazo la TRC linasema mafundi wapo kazini.
Chombo ni kipya, mitambo ya umeme ni mipya, na umeme upo. Nadhani juzi TANESCO walisema tunakimbia na ziada, na maji pia, kama ilivyosemwa na DAWASCO siku tatu zilizopita. Lakini leo, Jumapili, maji yamekata!
Abiria wapo, hivyo operesheni na mtaji wa matengenezo vipo.
Tatizo nini?
Wazalendo ndani ya TRC, tafadhali tujulishe kupitia njia zetu za kujuzana. Viongozi watatudanganya. Hawana dini. Waliwahi kusema Rais ametingwa na kazi Ikulu, kumbe ameshanyooka. Na waliongelea msikitini. Astakafullulilah Ladhim.
=====
Ufafanuzi wa TRC soma hapa: TRC yaomba radhi Treni ya Mchongoko Dar-Dodoma kusimama ghafla kati ya Pugu na Soga
Intelijensia yetu iko imara sana, Tutajua tuHivi haya matreni yanavyobuma kila siku haiwezekani siku moja yakagongana?