KERO Treni ya mchongoko Dar-Dodoma imeharibika porini toka saa 2 asubuhi kati ya eneo la Pugu na Soga

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hawajasema wataanza safari "sio muda mrefu.'

Wamesema ndani ya saa moja!

Itakuwa mida ya saa nane!

Treni limebuma saa mbili asubuhi. Itakuwa limebuma masaa sita.

Treni la Gongo La Mboto halijawahi kugoma masaa 6. In fact, halijawahi kugoma, for all we know!

Hili jipya, la kisasa, la kitaifa, kwa nini likate moto porini masaa sita ???
Kwa maoni yangu ilitakiwa waliotengeneza hizo treni na wanaotumia hiyo mifumo wawe hapa nchini kwa walau mwaka mmoja kuwasaidia vijana wetu kwenye uendeshaji, services and maintenances...
 
Imetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi.

Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea.

Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine wanashuka na kupanda boda; wanaenda wapi, sijui. Tangazo la TRC linasema mafundi wapo kazini.

Chombo ni kipya, mitambo ya umeme ni mipya, na umeme upo. Nadhani juzi TANESCO walisema tunakimbia na ziada, na maji pia, kama ilivyosemwa na DAWASCO siku tatu zilizopita. Lakini leo, Jumapili, maji yamekata!

Abiria wapo, hivyo operesheni na mtaji wa matengenezo vipo.

Tatizo nini?

Wazalendo ndani ya TRC, tafadhali tujulishe kupitia njia zetu za kujuzana. Viongozi watatudanganya. Hawana dini. Waliwahi kusema Rais ametingwa na kazi Ikulu, kumbe ameshanyooka. Na waliongelea msikitini. Astakafullulilah Ladhim.

=====
Ufafanuzi wa TRC soma hapa: TRC yaomba radhi Treni ya Mchongoko Dar-Dodoma kusimama ghafla kati ya Pugu na Soga
Tulipopiga kelele tukionekana maboya, sasa ni zamu yao kuonekana maboya
 
Kaka pole sana, tulipata taarifa umepta ajali tukatoa pole zetu kwa mshana natumai alizifikisha
Asante sana mkuu, salam nyingi sana zilinifikia na Mungu azidi kuwabariki sana
 
Imetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi.

Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea.

Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine wanashuka na kupanda boda; wanaenda wapi, sijui. Tangazo la TRC linasema mafundi wapo kazini.

Chombo ni kipya, mitambo ya umeme ni mipya, na umeme upo. Nadhani juzi TANESCO walisema tunakimbia na ziada, na maji pia, kama ilivyosemwa na DAWASCO siku tatu zilizopita. Lakini leo, Jumapili, maji yamekata!

Abiria wapo, hivyo operesheni na mtaji wa matengenezo vipo.

Tatizo nini?

Wazalendo ndani ya TRC, tafadhali tujulishe kupitia njia zetu za kujuzana. Viongozi watatudanganya. Hawana dini. Waliwahi kusema Rais ametingwa na kazi Ikulu, kumbe ameshanyooka. Na waliongelea msikitini. Astakafullulilah Ladhim.

=====
Ufafanuzi wa TRC soma hapa: TRC yaomba radhi Treni ya Mchongoko Dar-Dodoma kusimama ghafla kati ya Pugu na Soga
mwanzo mgumu. kwa waliotumia sgr watakubaliana kuwa tunatakiwa kutokatisha tamaa, ni hatua moja kubwa sana tumepiga. wenye A tatu watakuwa wameelewa. wengine povu ruksa.
 
Shukeni mkale Mabungo huko maporini huu ndo msimu wake...
FB_IMG_1730530973044.jpg
 
Kila kipya huja na Changamoto zake, hongera sana TRC Kwa kuturahisishia kwenda na kurudi Dodoma.
 
Mungu ajaalie "mifumo ya uendeshaji" ndege zetu isitokee.

Watanzania ni bogus sana, utakuta maereva waliamka na pombe, wa kichwa cha mbele anaenda Dodoma wa kichwa cha nyuma anaenda Dar.

Hakuna cha "hitilafu" wala nini kwenye mifumo ya uendeshaji, ni uzembe tu.
🤣🤣🤣
Mungu ajalie nini na Wewe Bi Faiza ? Utawala huu unafeli kila kitu. Maji hakuna, Wachina wameshakuwa ni wamachinga, Taa za barabarani hazifanyi kazi, Takataka kila sehemu na hela za takataka halimashauri zinakusanya
 
Mungu ajaalie "mifumo ya uendeshaji" ndege zetu isitokee.

Watanzania ni bogus sana, utakuta maereva waliamka na pombe, wa kichwa cha mbele anaenda Dodoma wa kichwa cha nyuma anaenda Dar.

Hakuna cha "hitilafu" wala nini kwenye mifumo ya uendeshaji, ni uzembe tu.
Bora tatizo umeligundua mapema.
 
Ni changamoto tu za kawaida hizo...cha msingi wafanye manouver kwa hili mchongoko ,Dar --- Dom iwe masaa mawili na nusu tu!
 
Bora tatizo umeligundua mapema.
Upo coco beach unauliza baharini wapi?

Imetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi.

Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea.

Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine wanashuka na kupanda boda; wanaenda wapi, sijui. Tangazo la TRC linasema mafundi wapo kazini.

Chombo ni kipya, mitambo ya umeme ni mipya, na umeme upo. Nadhani juzi TANESCO walisema tunakimbia na ziada, na maji pia, kama ilivyosemwa na DAWASCO siku tatu zilizopita. Lakini leo, Jumapili, maji yamekata!

Abiria wapo, hivyo operesheni na mtaji wa matengenezo vipo.

Tatizo nini?

Wazalendo ndani ya TRC, tafadhali tujulishe kupitia njia zetu za kujuzana. Viongozi watatudanganya. Hawana dini. Waliwahi kusema Rais ametingwa na kazi Ikulu, kumbe ameshanyooka. Na waliongelea msikitini. Astakafullulilah Ladhim.

=====
Ufafanuzi wa TRC soma hapa: TRC yaomba radhi Treni ya Mchongoko Dar-Dodoma kusimama ghafla kati ya Pugu na Soga
Wee ...hiii ni siri....🤣🤣🤣uthitheme
 
Sa100 alishasema, atatumia Kodi zetu kununua Treni mtumba, mixer mpya Kwa Bei Moja.
 
Back
Top Bottom