KERO Treni ya mchongoko Dar-Dodoma imeharibika porini toka saa 2 asubuhi kati ya eneo la Pugu na Soga

KERO Treni ya mchongoko Dar-Dodoma imeharibika porini toka saa 2 asubuhi kati ya eneo la Pugu na Soga

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
unguze ujuaji, halafu iweje ???

Niongeze ujinga ???

Yani mnataka kila namna ya public discourse, mijadala ya kitaifa, iwe ni ya mtindo wa kutufanya sisi ni recipient wa kudumu wa "kutupa elimu" ????

Kwa nini Mwafra akidai maboresho, maendeleo, akikosoa mifumo, akikosoa watumshi wa umma, akikosoa viongozi, anaambiwa anajifanya mjuaji ? Sasa ajifanye mjinga ???? Mnataka maraia zezeta ???

Hell freaking no! Hatukubali ma third world mentality mgando yenu.

TRC is a dumpster fire. Which is a microcosm of the whole Samia administration.

Hayo matreni ya Marekani uliyosema yalikwama, yalikwama masaa tisa ???? Yalikwama na abiri njiani ???

Jana watu wamekaa porini Soga masaa tisa. Hiyo inakuaje ni sawa ? Kwa nini tusiseme?

Imetokea lini hiyo huko USA unakosema nako inatokea ???

1. Ulisema hizi hitilafu hazijawahi kutokea huko New York ulikokuwa unaishi. Nimekuonesha kuwa hizo changamoto zimetokea tena mwaka huu. Ndio maana nikakwambia upunguze ujuaji. Sijakataza mtu kuongea, ila usiongee uongo. Hoja unayo, ila umezidisha chumvi.

2. Hoja yako ni ipi? Treni kupata changamoto au uongozi mbovu wa Samia? Jikite kwenye hoja moja. Acha kurukaruka. Jenga hoja. Nini kifanyike kuboresha huduma. Usiwe sehemu ya tatizo. Do you have anything to lose?

3. Nakushangaa sana unapouliza niliyosema yalitokea lini wakati nimekupa tarehe za matukio yalivyotokea na vyombo vya habari vilivyoripoti. Do not panic. Information at your finger tips.

4. Hakuna aliyekuziba mdomo, bali mdomo wako umekuponza. Kwanini udanganye kuwa haya mambo huko New York hayajawahi kutokea ilhali yametokea?

5. Hakuna maboresho uliyodai. Hata kama yapo, jifunze kuwasilisha hoja. Ulichokifanya ni kuponda tu. Kama unaona huduma haifai si usafiri na gari lako binafsi. Umelazimishwa kupanda hiyo treni?

6. Kwa taarifa yako, hata magari huwa recalled kwa ajili ya maboresho endapo yataonekana kuwa na hitilafu. Sembuse treni hii isiyo hata na miezi sita.

7. Hoja yangu ni kwamba, changamoto zipo. Na hizo changamoto ndio hutumika kuboresha huduma.

8. Yaani 45km kutoka Dar tayari kuna pori? Mzee, unafahamu pori ni nini? Kuna misitu, pori, na vichaka. Hebu fafanua.

NB: Hakuna anayetaka kukufanya zezeta. Watu wenye akili huonesha njia. Nini kifanyike ili kuboresha huduma. Wasio na akili huponda bila kusema nini kifanyike. Je, uko upande gani? Jitafakari.
 
Mungu ajaalie "mifumo ya uendeshaji" ndege zetu isitokee.

Watanzania ni bogus sana, utakuta maereva waliamka na pombe, wa kichwa cha mbele anaenda Dodoma wa kichwa cha nyuma anaenda Dar.

Hakuna cha "hitilafu" wala nini kwenye mifumo ya uendeshaji, ni uzembe tu.
Uwe unajaribu kuficha UPAMBAVU WAKO! NA MAHABA YAKO KWA CCM KWENYE MAMBO YENYE TIJA KWA NCHI.
 
Back
Top Bottom