Treni ya Mizigo iliyobeba Kemikali yapinduka Morogoro

Na hili ndo litasababisha SGR isirudishe faida mapema.
 
Ashukuruwe Mungu ni mabehewa ya mizigo na si abiria.🤲🙏🙏
 
Serikali gani?

Kipaumbele cha Ufipa st ni Katiba mpya ambayo wahusika ni Wananchi Siyo Serikali
Tatizo kuna mtu kauliza hakuna tuhuma yoyote ya hujuma hapo,

Wewe ukajibu ufipa st wote wapo ulaya. Hapa inaonekana wewe kuna kitu unakijua sasa kaa tayari kulisaidia jeshi la polisi. Jiandae muda si mrefu tutakuja kukuchukua kwa mahojiano zaidi
 
Tatizo kuna mtu kauliza hakuna tuhuma yoyote ya hujuma hapo,

Wewe ukajibu ufipa st wote wapo ulaya. Hapa inaonekana wewe kuna kitu unakijua sasa kaa tayari kulisaidia jeshi la polisi. Jiandae muda si mrefu tutakuja kukuchukua kwa mahojiano zaidi
Hahaha........ Ufipa st?!!!

Ni mtaa mrefu sana
 
Soko lake lipo wapi?

Wanunuzi unawajua?
 
Sulphur Dioxide niliiona imemwagika kutoka kwenye Lori pale Chalinze pembeni yake akinamama lishe wakiendelea na shughuli zao kama kawaida.
Mkuu, unless nimesahau chemistry yangu ! Sulphur Dioxide (SO2) inaexist as gas, sasa itamwagika vipi muone? Pia hii ndude ina pungent smell, ikiwa released huwez kukaa karibu as utapata irritation ( 2SO2 + 2H2O in your nose mucus+ O2 unayovuta= 2H2SO4 (sulphuric acid) ambayo ingeku-irritate pua!

I doubt Hata hii story ya mleta mada, maana I expected kuona mabehewa ambayo ni tankers za gas if actually kilichokuwa kimebebwa ni sulphur dioxide!
 
Hio MGR imefanyiwa rehabilitation ht miaka miwili haijaisha...700B za world bank zimelala hapo...hii hujuma ya waziwazi...tumerudi kihujumu reli ili maroli yao yapate soko...Watanzania tuna safari ndefu sana
Mkuu ni nani aliwadangaya kuwa reli inaweza kureplace maroli? Huu uongo mliaminishwa na mwendazake kwa chuki zake binafsi na ukawaingia akilini watamzania wengi
Kwa taarifa tu , sweden ni moja ya nchi yenye rail network kubwa na bado hawajafanikiwa kutoa lori barabarabarani, infanct ndo kunatengenezwa volvo na scania .

Unaweza kuwa na hoja ya hujuma lakini sio kwa mantiki yako
 
Uko sahihi nilicchokiona mimi ni Sulphur
 
Poleni sana hiyo bara bara naijua ina matuta sana, nashauri shirika la reli wapunguze matuta
Ulipovutia nipeleke na mimi hahahahaha. Na traffic watakuwa wamesababisha
 
Ukiona hivyo basi ujue kuna kitu more sinister wamekificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…