Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Enzi zetu na travel warranty kwenda shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaona nini mkuu,ikiwa wewe ni kipofu!pole sana mkuu!!Mbona sioni kitu au?
such nice memories...
Mambo vipi mtaalamu wa kubadilisha AVATAR,kesho sijui utakuja na avatar ipi!!!
aahhaaa thanks kwa ku notice mi sio hitler bana....
Sawa mkuu!!naona wewe maharabu wa Jodan!karibu kwetu shehe,kwetu chai yaungwa nazi!!!
jordan mbali kaka! chai ya nazi kwake kabsaaa....natoka oga maji yalo ungwa....ushawahi weye?
kumbe kule waja leo warudi leo!mkuu uko hatari sana nasikia huko ukiingia utoki tena!unakogeshwa maji yaliwekwa iriki huku korodani zikiwa ndani ya kisosi cha chai!inatisha!!
Enzi zetu na travel warranty kwenda shule
![]()
such nice memories...
when i just see you i feel like i'm in the heaven oh my god,,,,
Nakumbuka enzi za radio moja, chama kimoja, usafiri mmoja wacha tu, enzi hizo tulikua tunakula pipi bila maganda mpo hapoo!!
Tulizipanda hizo sana. Enzi hizo train yenye engine hiyo ya abiria ilikuwa inaitwa 'mail train', na nyingine yenye engine ndogo ilikuwa inaitwa 'sentikaa'. Nakumbuka tulikuwa tunamkwepa TTE (ticket examiner) maana mara nyingi tulikuwa tunatumia ticket zilizo expire!