A
Anonymous
Guest
Treni ya Mwakyembe imesitisha ratiba yake ndani ya wiki mbili sasa, Treni hiyo ambayo safari zake huwa ni kuanzia Tazara kuelekea Kigogo sokoni Jijini Dar es Salaam imekuwa msaada mkubwa kwetu Wananchi tunaoitumia.
Sisi wananchi tuliokuwa tunaitegemea tunapitia adha kubwa ya usafiri kwa sasa tangu kusitishwa kwa treni hiyo, Mbaya zaidi hatujui sababu ya kusitishwa kwa treni hiyo na hakuna taaifa yoyote ya lini itarejea.
Hivi sasa ni week ya pili tangu treni hiyo isitishe safari zake kwa sababu isiyofahamika, binafsi yangu ni mkazi wa MAJOHE, tangu treni hiyo ikatishe safari nimekumbana na adha kubwa ya usafiri kuwa mgumu na hii imechangiwa na uchache wa magari.
Soma pia: LATRA: Treni za Mwakyembe hazikidhi viwango vya kutoa huduma ya usafiri licha ya kuzidiwa na wingi wa abiria