Hakika kazi imeendelea.
Leo muda wa Mchana wa Saa nane Tanzania imeendelea kuweka historia.
Treni ya mwendokasi maarufu kama S.G.R imeanza kutoa huduma za kubeba mizigo.
Hakika kazi imeendelea.
Leo muda wa Mchana wa Saa nane Tanzania imeendelea kuweka historia.
Treni ya mwendokasi maarufu kama S.G.R imeanza kutoa huduma za kubeba mizigo.
Pongezi kwa hatua hii ila kwa wakazi wa ukonga na viunga vyake washatengenezewa tatizo la msongamano wa maroli kwa barabara ya kutoka tazara mpaka pugu na wembamba hule fikiria kama gari kubwa zitakapo anza kwenda kupeleka mzigo kutoka sehemu nyingine za huku katikati tofauti na bandari huo msongamano wa magari utakuwaje jamani? 😂😂😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.