Treni ya Mwendo kasi (SGR) Yaanza huduma ya kubeba mizigo

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Hakika kazi imeendelea.
Leo muda wa Mchana wa Saa nane Tanzania imeendelea kuweka historia.
Treni ya mwendokasi maarufu kama S.G.R imeanza kutoa huduma za kubeba mizigo.
 
Hakika kazi imeendelea.
Leo muda wa Mchana wa Saa nane Tanzania imeendelea kuweka historia.
Treni ya mwendokasi maarufu kama S.G.R imeanza kutoa huduma za kubeba mizigo.
Pichq Iko wapi
 
Nimeiona pale Station ya Morogoro ile mida ya saa moja asubuhi, na ilipelekea ile ya Dodoma kusimama na kusubiria kwa muda ili kupata parking
 
Pongezi kwa hatua hii ila kwa wakazi wa ukonga na viunga vyake washatengenezewa tatizo la msongamano wa maroli kwa barabara ya kutoka tazara mpaka pugu na wembamba hule fikiria kama gari kubwa zitakapo anza kwenda kupeleka mzigo kutoka sehemu nyingine za huku katikati tofauti na bandari huo msongamano wa magari utakuwaje jamani? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…