Hebu tuongee na ninyi wakenya mpate kujua usafiri kwa upande wa Dar to Dodoma.
Tuanza:-
Kila siku Mabasi ya Shabby Hutoka Dar mabasi 6 na hutoka Dodoma mabasi 6
Mabasi ya Shabby hubeba abiria 60+
Sasa tuchukue wastani wa abiria 50 so kwa mwaka Shabby pekee itabeba abiria
60x12x365 = 219,000
Kuna kampuni zaidi ya 10 zinafanya biashara ya kusafirisha abiria kati ya Dar na Dodoma.
Kuna companies zina mabasi zaidi ya 12 kwa siku.
Sasa tuseme kila company inabeba abiria kwa wastani wa 150,000 kwa mwaka maaba yake 10x150,000 =(1,500,000 + 219,000)
Total itakuwa 1,719,000 kwa mwaka.
For two year inakuwa 1,719,000x2 = 3,438,000 abiria.
Nauli ya kwenda Dodoma ni wastani wa Tsh. 18,000 so kwa miaka miwili revenue itakuwa
3,438,000x18,000 = 61,884,000,000
Ni sawa na USD 26,868,795.12
Tunataka kujua nauli ya SGR toka Mombasa kuja Nairobi.