Treni ya SGR Kenya(Madaraka Express) yabeba abiria milioni 2 hadi sasa; matarajio yalikuwa abiria milioni 1.7 ifikapo Juni 2019

Hakuna kuweka sawa ni majungu na wivu tu, nakuelewa kakake/dadake Ichoboy..,
Utawaelewa tu hawa jirani zetu hiyo ndio fani ambayo baadhi yao wamebobea. Wivu na majungu, hata wao kwa wao pia huwa wanaekana chini kweli kweli, wanapoona tu mmoja wao akijaribu kuinua kichwa chake juu zaidi ya wenzake.
 
why are they comparing mangoes and oranges
 
Nuggu,kwani bas moja ya BRT inapiga route za km ngapi kwa siku??au hujaelewa kabisa tuusan nini alimaanisha??
nugu ni wewe,nyanyako,mamako,babako na malaya wote wako shoga wewe
 
nani anaelewa madafu money aweke 'transleshioni' hapa?? hii noogle inatwambia 61million madafu money ni sawa na usd 26million. hii uchawi ya bongo ni Kali.
 
Mbona hamuulizi dreamliner kwa mwezi inaingiza kiasi gani, the thing sisi watanzania ni kama wachawi wewe watoto wako wamezaa bila harusi lakini kutwa kumsema mtoto wa jirani, Malaya Yule. That is a true definition ya mtanzania, full majigambo, empty promises, na wengi empty stomachs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…