Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 16,078
- 77,186
😁😁Mna bahati umeme haujakatika mkiwa porini
Hiyo ingewasaidia mkuu, wangekula matunda mwitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁Mna bahati umeme haujakatika mkiwa porini
Umeme leo unasumbua,nilipo unakatika nakurudiTreni ya SGR iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma imekwama kwenye Stesheni ya Kilosa baada ya Umeme kukatika, tuko hapa tunasubiri umeme urudi ndio safari iendelee, tumeambiwa Grid ya Taifa imezima.."
Kabla hayajafika tulishauri haya Madude yaje na "Power bank" lakini Mfumgwa wetu mtarajiwa Bwana Kadogosa akasema umeme ukikatika yanatumia Diesel.
Haya Kiko wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....?
View attachment 3168603
Wenye dhamana wanahujumu taifa.Treni ya SGR iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma imekwama kwenye Stesheni ya Kilosa baada ya Umeme kukatika, tuko hapa tunasubiri umeme urudi ndio safari iendelee, tumeambiwa Grid ya Taifa imezima.."
Kabla hayajafika tulishauri haya Madude yaje na "Power bank" lakini Mfumgwa wetu mtarajiwa Bwana Kadogosa akasema umeme ukikatika yanatumia Diesel.
Haya Kiko wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....?
View attachment 3168603
Treni haitakiqi kukatika umeme, sawa na ndege haitakiwi kuisha mafuta, au hospitali umeme kukatika.Wa Tanzania gubu sasa unajuwa umeme umekatika shida nini? utasema kitu cha ajabu sana nchi nzima umeme umekatika sehemu kubwa kwa hiyo kusubiri tu imekuwa shida? Basi na siku zingine kukiwa hakuna shida zinafika salama muwe mnaandika sio negative tu.
Kinachoongelewa ni tulivyodanganywa kuwa umeme ukikatika abiria hawatajua kwani treni haitasimama.Uzuri nchi hii kuna option nyingi sana, kuna ndege, ma bus na SGR ni mtu kuamua tu hapa nimepigwa napanda huku lakini leo hii unaweza kwenda kukata ticket full train 4 daily zaidi ya watu alfu 3 wanaingia na kutoka ukiangalia data ni mafanikio kuliko hizi changamoto. Hata ndege huwa zinachelewa sana tu lakini watu wanakubali ni changamoto
Hiyo treni inahudumia sehemu ndogo sana ya watanzania hata humo ipitamo, ukipanda Dar inasimama Ngerengere na Morogoro, wengine wote njiani wanaiona kama muvi tu, sijui hayo nayo ni mafanikio!Kuwa na SGR ni hatua 1, kupitia changamoto zake na kupata uzoefu ni hatua ya 2, kuboresha na kusonga mbele ni hatua ya 3.
Kwa Taifa kama Tanzania nivema kujivunia kuwa na SGR kwani naamini miaka kadhaa ijayo tutapiga hatua zaidi mbali ya changamoto chache zinazotukumba.
Umeshadanganywa vingapi nchi hii?huku ni Afrika haiwezekani ikawa kama ulaya,we tafuta hela ya kula maisha yaendelee...Kinachoongelewa ni tulivyodanganywa kuwa umeme ukikatika abiria hawatajua kwani treni haitasimama.
Kaka hizi zote ni hatua tuko ya kwanza tunaelekea ya pili tutafika ya tatu.Hiyo treni inahudumia sehemu ndogo sana ya watanzania hata humo ipitamo, ukipanda Dar inasimama Ngerengere na Morogoro, wengine wote njiani wanaiona kama muvi tu, sijui hayo nayo ni mafanikio!
Poleni. Ni kweli inaonekana umeme umekatika sehemu kubwa ya Nchi. Dar maeneo mengi hayana umeme muda huu
Wewe hapo mtaani dukani kwa mangi unalipa VAT? unapata risiti ina Vat? hayo unayaona ukienda kwenye sehemu kama shoppers unaona VAT kiasi gani umelipa niambia mtaani kwako unapewa risiti kwa Mangi?Hii ni aibu....kwamba VAT na Tax ni tofauti....?
I doubt kama unaelewa Tax ni nini.....Simply put, Kila ambacho serikali inatoza iwe ni kwenye mapato(Income, Revenue, Sales....vyovyote utakavyoita) au huduma...hicho ni kodi(tax)....ndiyo sababu kusema watu hawalipi kodi huo ni ujinga(kukosa ufahamu wa tafsiri pana ya kodi).
Kodi(tax aina kibao), duties(ushuru), tozo, ada, zote ni kodi na zinaenda kwenye mapato ya nchi kupitia fuko kuu la hazina....ni kwa sababu hiyo Magufuli(RIP) alikuja na idea ya control numbers, lengo ilikuwa ni synchronization ya mifumo yote ya ukusanyaji wa mapato into one system ili serikali iwe na uwezo wa kujua at any given point kwamba imekusanya kiasi gani kutoka wapi na wapi.....niishie hapa!
Elimu, elimu, elimu.....!
Umeandika Kiswahili au kinywaranda?Wewe ccmyas acha ujing,muwe mnakuwa wakwel sio kubwabwaja kama wajing a,kwan mngesema huo ushubwada wenu umeme ukikata utakuwa unasimama kungekuwa na shida gan
Lakin mlituaminisha kuwa hata umeme ukikata abiria hawawez kujua
Afu ujue muda ni pesa,usizan watu wanasafir kwa kujifurahisha kama wew unavyotazama tv hapo kwa dada yako
Yapi?Mambo ya ajabu ajabu
Kama wewe kulipa VAT umejiona ndio mlipa kodi na kupiga kelele basi kuna watu wanalipa kila mwezi kanunua bidhaa hajanunua wanalipa. Wewe una hiyari unalipa kwa mujibu wa mahitaji yako ndio maana nchi zingine ukinunua kitu kama mgeni ukitoka unarudishiwa VAT uliyolipa.Hii ni aibu....kwamba VAT na Tax ni tofauti....?
I doubt kama unaelewa Tax ni nini.....Simply put, Kila ambacho serikali inatoza iwe ni kwenye mapato(Income, Revenue, Sales....vyovyote utakavyoita) au huduma...hicho ni kodi(tax)....ndiyo sababu kusema watu hawalipi kodi huo ni ujinga(kukosa ufahamu wa tafsiri pana ya kodi).
Kodi(tax aina kibao), duties(ushuru), tozo, ada, zote ni kodi na zinaenda kwenye mapato ya nchi kupitia fuko kuu la hazina....ni kwa sababu hiyo Magufuli(RIP) alikuja na idea ya control numbers, lengo ilikuwa ni synchronization ya mifumo yote ya ukusanyaji wa mapato into one system ili serikali iwe na uwezo wa kujua at any given point kwamba imekusanya kiasi gani kutoka wapi na wapi.....niishie hapa!
Elimu, elimu, elimu.....!
Hamna shukrani hata kidogo,binadamu aliyezitrengeneza anaugua sembuse treniTuliambiwa umeme ukikatika abiria hawatajua kwani itaendelea kutembea, tulidanganywa na wewe unashiriki kwenye uongo kwa kuwatetea. Kumbuka walianza na bundi na nyani wanacheza sarakasi kwenye waya, cha ajabu jinsi waya zilivyowekwa ni vigumu sana kwa nyani kupanda.
Fikiria umelipa ili ufike haraka unakuta waliopanda basi wamekwisha fika!
Ni kweli umeme ulikatika, hadi huku Kahama haukwepo!Treni ya SGR iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma imekwama kwenye Stesheni ya Kilosa baada ya Umeme kukatika, tuko hapa tunasubiri umeme urudi ndio safari iendelee, tumeambiwa Grid ya Taifa imezima.."
Kabla hayajafika tulishauri haya Madude yaje na "Power bank" lakini Mfumgwa wetu mtarajiwa Bwana Kadogosa akasema umeme ukikatika yanatumia Diesel.
Haya Kiko wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....?
Pia soma ~ TRC: Treni za SGR zilisimama maeneo matatu tofauti kutokana na hitilafu ya umeme katika Gridi ya Taifa
Wangesema ukweli yote haya yasingetokea, waliingiza uongo wa kisiasa ili wapige sasa tunasutana, unajua ni mitumba, kakate tikiti usafiri ili uone ndani ikoje.Hamna shukrani hata kidogo,binadamu aliyezitrengeneza anaugua sembuse treni