Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Poleni. Ni kweli inaonekana umeme umekatika sehemu kubwa ya Nchi. Dar maeneo mengi hayana umeme muda huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni. Ni kweli inaonekana umeme umekatika sehemu kubwa ya Nchi. Dar maeneo mengi hayana umeme muda huu
Unasema?!?Imekuaje tena huko, inamaana huyu jamaa alidanganya umma 😀😀😀, ingekuwa kwa wenzetu alipaswa kuwajibika kwa kauli hii lakini kwasababu tupo kwenye shamba la Bibi tunasema tu inshallahView attachment 3168934