Treni yaleta ‘kilio’ usafiri wa mabasi Dar - Moshi

Asante TRC nikomeshee watu
 
Hatimae kina mangi wameungana na Waha,Wanyamwezi na wasukuma kusafiri n taa moja (treni).

Hongereni kwa hatua mliyopiga
 
Ratiba ya treni ya abiria iwe kila siku kwa mwezi huu wa Desemba kwenda Moshi. Namshauri Ndugu Abood wa Morogoro asome namba kwa sababu ya SGR.
 
Wengine wanapanda kupata adventure tu.... kuna raha zake kwny gogo lama kupiga tungi, hakuna stress za kubanwa sijui mkojo sijui haja kubwa..
Bila kusahau masaa 16 mengi unaweza kula tunda kimasihara pia[emoji16].

So kwa mwaka huu kwa kuwa limeanza ma bus lazma waisome ila ikizoeleka haita wabana sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee kwel hujaelewa kama ulivyo sema Mzee mwenzangu hii ipo kupunguza adha ya usafiri sio kuwakomesha wenye mabasi bwana wee
 

Watu wa Moshi wengi wanavipara.
 
Asee kwel hujaelewa kama ulivyo sema Mzee mwenzangu hii ipo kupunguza adha ya usafiri sio kuwakomesha wenye mabasi bwana wee

Asante baba
Kweli wahenga tunajuana [emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Naona wa kaskazini sasaivi zamu yao vyuma kukaza,ila jamani mbona Watu wa Kigoma wana treni lakini bado mabasi yanajaza,inakuwaje hapo jamani
 
biashara ni ushindani.. waboreshe tu huduma katika mabasi yao ,siy wote wanaopnda kukaa mda mrefu njiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…